New song:chin bees ladha..kiukweli huyu jamaa ni hafai..

Its Pancho

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
14,138
22,507
Chin bees katoa ngoma mpya inaitwa ladha..kiukweli huyu jamaa anajua sana tuu sana.. nendeni YouTube mkacheki..mimi kuziweka hapa inazingua....
 
Jamaa anajua tatizo nyimbo zake zinafanana kuanzia flow mpaka chorus. Halafu hapendi kusolewa uwa anapanic akiambiwa hivyo. Otherwise yuko vizuri sema abadirike hata kama ni trap anaweza tofautisha wimbo mmoja na mwingine
 
Kweli mkuu ..lakini tumpe sapoti tuu atabadilika..
 
Jamaa anajua tatizo nyimbo zake zinafanana kuanzia flow mpaka chorus. Halafu hapendi kusolewa uwa anapanic akiambiwa hivyo. Otherwise yuko vizuri sema abadirike hata kama ni trap anaweza tofautisha wimbo mmoja na mwingine
Hawa wanaofanya Trap wana tatizo la kufanana nyimbo, hata kule mbele ukiwafatilia Migos utaona hilo tatizo
 
Very true, ukimsikia Gucci Mane, Ukiwasikia Migos, Lil Uzi Vert, etc wote wanaimba kitu kile kile, unajikuta kama vile unasikiliza wimbo uleule.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom