bona
JF-Expert Member
- Nov 6, 2009
- 3,798
- 1,435
kuna pc virus sijui ni mpya au mimi ndio ameingia kwa pc yangu, ni ananisumbua, kama ameshaingia kwenye pc yako, fungua internet explorer then kwenye tittle bar ya internet explorer una kuta imejiandika kwa herufi kubwa, lord raul -cool, ana appear ktk kila window ya explorer utayofungua!
naomba ushauri wa kumtoa uyu virus kwa aliyeingia kwa pc yake na akaweza mtoa!
naomba ushauri wa kumtoa uyu virus kwa aliyeingia kwa pc yake na akaweza mtoa!