new mzalendo Nikaribisheni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

new mzalendo Nikaribisheni

Discussion in 'Utambulisho (Member Intro Forum)' started by newmzalendo, Mar 23, 2009.

 1. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2009
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  hello members of jamii forum ,nimekuwa nasoma tu jambo then jamii forum for years now,but sijaaamua kujoin inn,sasa nimeingia mimi ni mtanzania tena mzalendo mwenye hari na nia ya kuwa mtanzania bora
  aka New Mzalendo
  naomba mnikaribishe ktk forum hii
  thanks
   
 2. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Karibu mkuu. Kwa kuwa umekusa ukisoma on teh sidelines kwa muda mrefu, nadhani unaelewa kanuni za mchezo hapa
   
 3. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2009
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 911
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Kabla hujakuwa new mzalendo ulikuwa nani? Utatujuza huko baadaye, ila kwasasa karibu jamvini utupe mawazo bora kama mtanzania bora!
   
 4. Kapongosha

  Kapongosha Member

  #4
  Aug 30, 2013
  Joined: Aug 20, 2013
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yap yap
   
 5. sir Ganto G

  sir Ganto G JF-Expert Member

  #5
  Aug 30, 2013
  Joined: Jul 22, 2013
  Messages: 574
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Karibu sana JF,humu tupo wengi sana kama wewe,barikiwe sana.
   
 6. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #6
  Aug 30, 2013
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Na wewe umezidi tena kwa kufukunyua.
   
Loading...