ERNESTO CHE-GUEVARA
Member
- Dec 5, 2018
- 38
- 12
hahahahahah, xz,,,*__**,_,*_†,,*"__†"__''. X. Z , f ccxxzxxzxxxçxxxcxxzl ccfzZcvcvvvçvçc vccl f

|Haya yote yanawezekana Tukidai katiba mpya Watanzania wote itabadilishwa tuu[/QUOTE
Wenye Tanzania ni Mimi na wewe,wenye kuamua Tanzania iweje ni Mimi na wewe,wanasiasa wanajaza watu hofu na tumepokea hofu tumejawa hofu,wanasiasa wanahubili umasikini tumejawa umasikini vichwani,tunayo changamoto moja tu kama taifa tunajua kuongea sana kwenye vijiwe na mitandao.Hatujapenda katiba ndio maana tumebaki KULALAMIKAAmani kwenu wazalendo wenzangu:
Baada ya salaam ningependa kusema kuwa uchaguzi uliopita una mapungufu makubwa sana. Mapungufu mengi ni ya masuala ya kikatiba ambayo yamekuwepo kwa muda mrefu kuanzia uchaguzi wa 1995. Mapungufu hayo hayakujionyesha sana katika vipindi vya uchaguzi vilivyopita kwa sababu wagombea wa chama tawala walikuwa hawana upinzani mkubwa. Hivyo kasoro zote za kikatiba zilifunikwa na umaarufu wa kihistoria wa CCM. Kwa kipindi cha uchaguzi cha 2015, Tanzania itakaribisha wapiga kura wapya wapatao 1.5 miloni au waliozaliwa mwaka 1995 na baadaye.
Hatutajitendea haki wenyewe na kizazi kipya iwapo tutaendelea kutumia katiba iliyo sasa kama mwongozo wa kuendeleza nchi. Hivyo kwa maombi yangu binafsi, wazalendo wa Tanzania tuanze kusukuma mabadiliko ya kikatiba. Ninapoita wazalendo, nina maana wananchi bila kujali itikadi zao vyama vya kisiasa, dini au ukabila.
Bila ya kutaja matatizo ya katiba yetu, ningependa kueleza toka tumepata uhuru katiba ya Tanzania imekuwa ni kitu kisichoeleweka wazi kwa wananchi. Tuliosoma shule wakati somo la siasa linafundishwa mashuleni, tulikuwa tunafundishwa katiba ya CCM na miongozi ya chama hicho. Hivyo basi kuna uwezekano mkubwa hata wanasiasa wetu wengi hawajui umuhimu wa kitabu hicho.
Hivyo ningependa kufungua ukumbi kwa kuwakaribisha wenye mawazo na nia ya kubadilisha katiba kutoa mawazo yao.
Na vilevile kama kutakuwa na watu wanaotaka kuanzisha jumuia ya kufanya mabadiliko ya kikatiba, naomba mjitokeze.
tJecha! Mhuuu,Alifuata katiba lakini alivunja sheria.Maana ili ufute uchaguzi ni lazima uwe na vigezo ,kikibwa chao iwe upigaji kita uligubikwa nafujo ,mauwaji,upotevu wa visanduku na au lolote lilisababishwa mchakato wa kupiga kura na kuhesabu usifanyike.Tena ili ufute uchaguzi iwe hali hii ni kwa nchi nzima.siobaadhi ya vituo.
Hivyo alivyoamua jecha bila vigezo hivyo ni wizi wa mchana kiba kwa ajili ya maslahi ya chama fulani dhidi ya kingine ambayo kwa mujibu wa sheria ni jinai.
Lakini katiba inampa nguvu kuwa maamuzi yake ni ya mwisho hayahojiwi mahakamani.Hata kama ni batili hashtakiwi.
Hapoooooo ndipo palipo na ulazima wa kuitafuta katiba kwa hali na mali na kwa maana hiyo ni bora kutoshiriki chaguzi zifuatazo mpaka katiba ibadilike,kinyume chake ni kuumizana na kutiana vilema au kupotezeana uhai.
Au tupambane kwa nia hiyo kufa kupona mpaka kieleweke kuliko kukimbizana kwenye mikutano na kampeni za siasa tukiamini eti ccm itajitia kitanzi yenyewe kuachia madaraka kwa hiari.
ReferJecha! Mhuuu,Alifuata katiba lakini alivunja sheria.Maana ili ufute uchaguzi ni lazima uwe na vigezo ,kikibwa chao iwe upigaji kita uligubikwa nafujo ,mauwaji,upotevu wa visanduku na au lolote lilisababishwa mchakato wa kupiga kura na kuhesabu usifanyike.Tena ili ufute uchaguzi iwe hali hii ni kwa nchi nzima.siobaadhi ya vituo.
Hivyo alivyoamua jecha bila vigezo hivyo ni wizi wa mchana kiba kwa ajili ya maslahi ya chama fulani dhidi ya kingine ambayo kwa mujibu wa sheria ni jinai.
Lakini katiba inampa nguvu kuwa maamuzi yake ni ya mwisho hayahojiwi mahakamani.Hata kama ni batili hashtakiwi.
Hapoooooo ndipo palipo na ulazima wa kuitafuta katiba kwa hali na mali na kwa maana hiyo ni bora kutoshiriki chaguzi zifuatazo mpaka katiba ibadilike,kinyume chake ni kuumizana na kutiana vilema au kupotezeana uhai.
Au tupambane kwa nia hiyo kufa kupona mpaka kieleweke kuliko kukimbizana kwenye mikutano na kampeni za siasa tukiamini eti ccm itajitia kitanzi yenyewe kuachia madaraka kwa hiari.
Hoja hii ilitolewa mwisho mwa 2010. Na miaka iliyofuatia mchakacho wa katiba mpya ulifanyika na bunge la katiba lilikuwepo na rasmi ya katiba mpya ilitolewa.mtoa post umekiri kwamba "toka tumepata uhuru katiba ya Tanzania imekuwa ni kitu kisichoeleweka wazi kwa wananchi" na unatushawishi tukuunge mkono tubadilishe katiba.mimi nadhani ni vyema kwanza tuielewe iyo katiba iliyopo ili tujue ubaya unaotaka kutuaminisha ndipo tupige kelele ibadilishwe kuliko kutubebesha mzigo tusiuelewa kama ulivyosema hapo juu.
Amani kwenu wazalendo wenzangu:
Baada ya salaam ningependa kusema kuwa uchaguzi uliopita una mapungufu makubwa sana. Mapungufu mengi ni ya masuala ya kikatiba ambayo yamekuwepo kwa muda mrefu kuanzia uchaguzi wa 1995. Mapungufu hayo hayakujionyesha sana katika vipindi vya uchaguzi vilivyopita kwa sababu wagombea wa chama tawala walikuwa hawana upinzani mkubwa. Hivyo kasoro zote za kikatiba zilifunikwa na umaarufu wa kihistoria wa CCM. Kwa kipindi cha uchaguzi cha 2015, Tanzania itakaribisha wapiga kura wapya wapatao 1.5 miloni au waliozaliwa mwaka 1995 na baadaye.
Hatutajitendea haki wenyewe na kizazi kipya iwapo tutaendelea kutumia katiba iliyo sasa kama mwongozo wa kuendeleza nchi. Hivyo kwa maombi yangu binafsi, wazalendo wa Tanzania tuanze kusukuma mabadiliko ya kikatiba. Ninapoita wazalendo, nina maana wananchi bila kujali itikadi zao vyama vya kisiasa, dini au ukabila.
Bila ya kutaja matatizo ya katiba yetu, ningependa kueleza toka tumepata uhuru katiba ya Tanzania imekuwa ni kitu kisichoeleweka wazi kwa wananchi. Tuliosoma shule wakati somo la siasa linafundishwa mashuleni, tulikuwa tunafundishwa katiba ya CCM na miongozi ya chama hicho. Hivyo basi kuna uwezekano mkubwa hata wanasiasa wetu wengi hawajui umuhimu wa kitabu hicho.
Hivyo ningependa kufungua ukumbi kwa kuwakaribisha wenye mawazo na nia ya kubadilisha katiba kutoa mawazo yao.
Na vilevile kama kutakuwa na watu wanaotaka kuanzisha jumuia ya kufanya mabadiliko ya kikatiba, naomba mjitokeze.
Muda wa urais siyo hoja kuu. Hoja ni madaraka makubwa ya kimungu aliyo nayo Rais kikatiba. Hata urais ukiwa miaka miwili tu bado madaraka hayo yanaweza kutumiwa vibaya.Kuna mabadiliko mawili tuu ya katiba
1. Urais miaka 7
2. Urais bila kikomo
Wataalam wanao ongelea mambo ya kama etc hawataweza kutupatia mawazo mbadala kwenye taifa letu. Tunataka mambo ambayo ni live, hivi sasa haya mambo ya kina mburukenge yamepitwa na wakati. Kama sheria zetu tu za sasa watu wanapindisha mtaweza kuturundikia sheria za kukaa vitabuni?
Sheria zilizopo kama zitafuatwa bila kupindisha zinatosha kabisa kuliokoa taifa hili katika kuleta maendeleo kwa wote sio wachache tu ambao wanataka kuendeleza status quo.