New Mount Meru ni ya nani kati ya Edward Lowassa au Sumaye?

Lambardi

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
11,025
2,000
Wana JF naomba tuadili nimeona kwenye TV jana kuwa ma bank yetu yametoa dola Mil 24 kwa ajili kuboresha na ukarabati mkubwa hotel ya Mount Meru....

Nakumbuka hotel hiyo ilidaiwa kutelekezwa baada awamu 3 kumaliza muda wake na kudai Sumaye alijiuzia bei ndoogo sana....mara tukasikia Sunda huyoo ni mtoto wa kazi wa EL au Sumaye!!

Naiona nguvu ya mafisadi kupeana pesa kama hizoo....kukusanya bank zote ajili uwekezaji.

Mytake
Ma bank wakiwa fair hata kwa wawekezaji tusio na majina na background za wanasiasa....tutafurahi zaidi maana kama huna hiyo huwezi hata fikiriwa mikopo midogo tu ya 20m tsh.

Napenda nijue historia ya hoteli hii kwa maiaka 5 iliyopita.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom