New Mount Meru......ni ya nani??EL au Sumaye | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

New Mount Meru......ni ya nani??EL au Sumaye

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lambardi, Dec 19, 2010.

 1. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #1
  Dec 19, 2010
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 8,691
  Likes Received: 3,576
  Trophy Points: 280
  Wana JF naomba tuadili nimeona kwenye TV jana kuwa ma bank yetu yametoa dola Mil 24 kwa ajili kuboresha na ukarabati mkubwa hotel ya Mount Meru....

  Nakumbuka hotel hiyo ilidaiwa kutelekezwa baada awamu 3 kumaliza muda wake na kudai Sumaye alijiuzia bei ndoogo sana....mara tukasikia Sunda huyoo ni mtoto wa kazi wa EL au Sumaye!!

  Naiona nguvu ya mafisadi kupeana pesa kama hizoo....kukusanya bank zote ajili uwekezaji...

  Mytake
  Ma bank wakiwa fair hata kwa wawekezaji tusio na majina na background za wanasiasa....tutafurahi zaidi maana kama huna hiyo huwezi hata fikiriwa mikopo midogo tu ya 20m tsh.....

  Napenda nijue historia ya hoteli hii kwa maiaka 5 iliyopita
   
Loading...