Haifai, wasiliana na Kiduku Lilo akupe uchaguzi sahihi wa gari.matumizi ya binaadamu wakiume?
Haifai, wasiliana na Kiduku Lilo akupe uchaguzi sahihi wa gari.
Blaza mtu anaford renger wewe una ist bado utasubiri uelekezwe gari la kiumeWapi limeandikwa "ni kwa wanawake tu" ?
Maisha yanatofautiana viwango na hakuna gari ya jinsia fulaniBlaza mtu anaford renger wewe una ist bado utasubiri uelekezwe gari la kiume
Haifai, wasiliana na Kiduku Lilo akupe uchaguzi sahihi wa gari.
Mwambie aje anichagulie hapa hapa
,RANGE ROVER,BENZ,BMW,BENTLEY,AUDI Tena hizo gari CC zinaanzia 3000 na kuendelea. Hiyo Rush....mmmh... Hapana. Haifai. Angeachana nayo tu.
Habari wadau
Naomb kuuliza hii gari inafaa kwa matumizi ya binaadamu wa kiume?
Nasemea body kwa engine adventure inakuwa na ngap na ile comfortHili cc 1500
Ujue unaeza ukawa huna gari laki. Kupta labda lifti vari kama vitz spacio kitume mwil huo na six pack juu unashukabmule aibu tupu bora utembeee tuMaisha yanatofautiana viwango na hakuna gari ya jinsia fulani
Gari ni gari tu jinsia yoyote awe mme au mke anaweza kuendesha
Sema kilemmb sanaNashkuru Mwamba. Nmeshangaa anazungumzia gari anataka toyota rush. Nmeangalia kwenye mtandao nmeona hicho chombo cha usafiri. Mwanaume huwezi tokea humo ukasema una drive gari. Hiyo kitu ipo fungu moja na ungo,baiskel,bajaji n.k
Magari yapo mfano
GMC,RANGE ROVER,BENZ,BMW,BENTLEY,AUDI Tena hizo gari CC zinaanzia 3000 na kuendelea. Hiyo Rush....mmmh... Hapana. Haifai. Angeachana nayo tu.
Hahah ukitaka kumtesa mtu wa IST muwe kwny foleni hivi we una Suv yeye yuko pembeni yako na Ist yake uone anavyoteseka/confidence zero.Kuna baadhi ya watanzania wana mawazo mafupi sana,hivi kumbe kuna Magari ya kike na kiume?
Hii kasumba imefanya Madereva wa IST,vitz na starlet kukosa utulivu barabaran maana muda wote wanajiona mademu Tu mbele ya Magari mengine
Ujue unaeza ukawa huna gari laki. Kupta labda lifti vari kama vitz spacio kitume mwil huo na six pack juu unashukabmule aibu tupu bora utembeee tu
Kweli kiswahili kimekua sana miaka hii.Sema kilemmb sana