New model Toyota Rush

abaa4all

JF-Expert Member
Mar 5, 2013
313
290
Habari wadau
Naomb kuuliza hii gari inafaa kwa matumizi ya binaadamu wa kiume?
20191008_085138.jpeg
 
Kuna baadhi ya watanzania wana mawazo mafupi sana,hivi kumbe kuna Magari ya kike na kiume?
Hii kasumba imefanya Madereva wa IST,vitz na starlet kukosa utulivu barabaran maana muda wote wanajiona mademu Tu mbele ya Magari mengine
 
Blaza mtu anaford renger wewe una ist bado utasubiri uelekezwe gari la kiume
Maisha yanatofautiana viwango na hakuna gari ya jinsia fulani
Gari ni gari tu jinsia yoyote awe mme au mke anaweza kuendesha
 
Nashkuru Mwamba. Nmeshangaa anazungumzia gari anataka toyota rush. Nmeangalia kwenye mtandao nmeona hicho chombo cha usafiri. Mwanaume huwezi tokea humo ukasema una drive gari. Hiyo kitu ipo fungu moja na ungo,baiskel,bajaji n.k

Magari yapo mfano
GMC,RANGE ROVER,BENZ,BMW,BENTLEY,AUDI Tena hizo gari CC zinaanzia 3000 na kuendelea. Hiyo Rush....mmmh... Hapana. Haifai. Angeachana nayo tu.

Haifai, wasiliana na Kiduku Lilo akupe uchaguzi sahihi wa gari.
 
Mwambie aje anichagulie hapa hapa
,RANGE ROVER,BENZ,BMW,BENTLEY,AUDI Tena hizo gari CC zinaanzia 3000 na kuendelea. Hiyo Rush....mmmh... Hapana. Haifai. Angeachana nayo tu.

- My Take-
Ndugu abaa4all lugha uliyoitumia kuwasilisha mada yako ina ukakasi, haina muono chanya, ndio sababu hata wachangiaji wameshindwa kukupa mwongozo na maelezo stahiki.
Habari wadau
Naomb kuuliza hii gari inafaa kwa matumizi ya binaadamu wa kiume?
 
Maisha yanatofautiana viwango na hakuna gari ya jinsia fulani
Gari ni gari tu jinsia yoyote awe mme au mke anaweza kuendesha
Ujue unaeza ukawa huna gari laki. Kupta labda lifti vari kama vitz spacio kitume mwil huo na six pack juu unashukabmule aibu tupu bora utembeee tu
 
Nashkuru Mwamba. Nmeshangaa anazungumzia gari anataka toyota rush. Nmeangalia kwenye mtandao nmeona hicho chombo cha usafiri. Mwanaume huwezi tokea humo ukasema una drive gari. Hiyo kitu ipo fungu moja na ungo,baiskel,bajaji n.k

Magari yapo mfano
GMC,RANGE ROVER,BENZ,BMW,BENTLEY,AUDI Tena hizo gari CC zinaanzia 3000 na kuendelea. Hiyo Rush....mmmh... Hapana. Haifai. Angeachana nayo tu.
Sema kilemmb sana
 
Kuna baadhi ya watanzania wana mawazo mafupi sana,hivi kumbe kuna Magari ya kike na kiume?
Hii kasumba imefanya Madereva wa IST,vitz na starlet kukosa utulivu barabaran maana muda wote wanajiona mademu Tu mbele ya Magari mengine
Hahah ukitaka kumtesa mtu wa IST muwe kwny foleni hivi we una Suv yeye yuko pembeni yako na Ist yake uone anavyoteseka/confidence zero.
 
Back
Top Bottom