(New Members) Wana dada JF mpotayari??

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,596
Jamani huku kunanini?mbona new members wamekuja na speed yakutafuta wanajamii ili wa do ze nidif au nyie ndo vidume kuliko sisi kakazenu mliotukuta??huko mlikokuwa hakuna??Pili mbona sijasikia member wakike akitafuta wakuvinjari naye??humu kwenye jf??Wana dada wa JF mko tayari mnatafutwa na new members!!!:boink:
 
samahani sana kaka kiiza,nje ya mada.hiyo picha hapo ni wewe mwenyewe ulivyo?au siyo picha yako.kuuliza jamani si ujinga,na samahani kama hujalipenda swali langu
 
hatudanganyiki
 
washatimuliwa Sura kitabu... wanajaribu ndoano zao huku...!!
 
Nina mashaka watoto wameanza kuvamia JF kutoka ze utamu na Facebook, inabidi mods waliangalie hili swala. Lakini pia hao waliojiunga Oct. 2010 wengi (sio wote) walitumwa na sisiem kuja kuichakachua JF sasa wameona mambo magumu wameamua angalau watafute wachumba ili wasitoke kapa (ni mtazamo tu).
 
samahani sana kaka kiiza,nje ya mada.hiyo picha hapo ni wewe mwenyewe ulivyo?au siyo picha yako.kuuliza jamani si ujinga,na samahani kama hujalipenda swali langu
Imekukwaza???mlaumu mungu aliyeniumba!!nimimi haswaaaa,imekugusa?usiusemee moyo express your self!baada ya kukujibu njoo ndani ya mada!
 
Wambieni huku ni mijimamaz na haitaki serengetiboys wapo pea!
 
walie tu hao mijamaa!angekuwa kaka kiiza au katavi kweli mimi ningedanganyikaaaa!
 
samahani sana kaka kiiza,nje ya mada.hiyo picha hapo ni wewe mwenyewe ulivyo?au siyo picha yako.kuuliza jamani si ujinga,na samahani kama hujalipenda swali langu

Kisukari na confirm ka niaba yake hiyo ni picha yake aliipiga mwaka jana mwezi wa kwanza ...Ni handsome boy wetu huyu
 
Back
Top Bottom