a_tully_
New Member
- Oct 8, 2021
- 2
- 5
Habari zenu my first time on jamii forum
Kujiunga kwangu humu ni kugusa jamii kuhusu BULLYING/HARASSMENT UONEVU/UNYANYASAJI
watoto,vijana, wanawake pia wanaume ambao wamewekwa nyuma kwenye kundi hili
Na kwakuanza ningependa nianze na BULLYING/uonevu Hasa kwa watoto
Watoto wengi mashuleni na hata mitaani wamekuwa wakikumbana na changamoto hii na wengi wamekuwa hawana pakusemea hasa kutokana na mazingira ya nyumbani hasa wazazi kuwa wakali au kuwa busy.
Watoto hukutana na uonevu wa kimwili au kimaneno na wengi huwa wanashindwa kujitetea sababu mtu anayemfanyia kitendo hicho anaweza kuwa amemzidi nguvu au uwezo wa kimaisha hali hii hupelekea watoto wengi kupata matatizo ya kisaikolojia.
Ikiwa wewe kama mzazi unachukua hatua gani kwenye malezi ya mtoto,je mara ya mwisho ni lini umekaa kuongea na mtoto wako kirafiki kujua maendeleo yake si tu ya kielemu bali ya afya yake kiakili na kimwili,wengi wetu huja kujua madhara ikiwa tayari tumeshachalewa na watoto wetu wakiwa wameshaathiriwa kwa kiasi kikubwa.
Wewe kama mzazi part yako ni ipi unayo play kwa mtoto wako,
Karibu kwa maoni