Tansy
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 3,946
- 8,941
Kiriba kipya pombe ya zamani, id mpya member wa zamaniSiku hizi new member lazima niwapekue kwanza.. Wengine hujisahau kuwa wamo ndani tayari hivyo hubisha hodi tena
Jr
daaa mkuu inaonekana form one ulipata tabu sana 😂😂😂 vip Usha zoea wajuvi wa mambo wa JFMimi ni mgeni mahali hapa naombeni ushirikiano wenu!! Big up great thinkers.....
Sent using Jamii Forums mobile app