New member

Mar 15, 2018
15
5
Hellow Jf
Mimi ni mgeni humu
Naomba kuuliza, Jf huu mtandao upo Tz tu, je mwanzilishi wake ni mtanzania? Huwa najiuliza mara nyingi sijapataga majibu
 
Mgeni karibu

Changia ulicho kielewa

Usicho kielewa achana nacho

Jifunze unacho weza kujifunza

Tufundishe unacho kijua


Heshimu wadau wote

Karibu sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom