SIERA
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 2,779
- 3,401
Chanjo zimesaidia sana kupunguza maambukizi ná vifo katika nchi nyingi za Magharibi. Pamoja ná hayo bado kwa wale wenye chronicle diseases ni lazima wajikinge vinginevyo watapata maambukizi ná kufa ukilinganisha ná wale wenye afya njema ná wamepata chanjo zote. Hawa hata wakipata maambukizi basi ni ugonjwa mdogo sana kwao hauhitaji kulazwa hata uwezekano wa kifo ni mdogo sana.
Bs ni sawa na wale waliokua hawana chanjo na waliugua na hawakupta madhara yoyote waliugua kama flu tu hata hospt hawakwenda