poa!pamojaaznapenda kuwafahamisha wanajamii kuwa nimebadili ID yangu kutoka NPL kwenda Lady N bcoz ID ya kwanza ilikuwa more complex .
napenda kuwafahamisha wanajamii kuwa nimebadili ID yangu kutoka NPL kwenda Lady N bcoz ID ya kwanza ilikuwa more complex .
kwani ya kwanza ilikuwa na complexity gani????????? we sema tu unataka ku-alert watu kuwa wewe ni she kwa kutuongezea hako kaneno "lady" baada ya kuona wenzio wanachombezwa kiaina hapa jamvini........... biashara matangazo ati.......................
teteheheeeeeeeee welcome, nitakutumia PM shortly na kama ni single tutaelewana vizuri zaidi.........................
Mbona kuanzia mwanzo nafahamika ni she jamani? si hata kwenye status nimeandika!kwani ya kwanza ilikuwa na complexity gani????????? we sema tu unataka ku-alert watu kuwa wewe ni she kwa kutuongezea hako kaneno "lady" baada ya kuona wenzio wanachombezwa kiaina hapa jamvini........... biashara matangazo ati.......................
teteheheeeeeeeee welcome, nitakutumia PM shortly na kama ni single tutaelewana vizuri zaidi.........................
Mbona kuanzia mwanzo nafahamika ni she jamani? si hata kwenye status nimeandika!
napenda kuwafahamisha wanajamii kuwa nimebadili ID yangu kutoka NPL kwenda Lady N bcoz ID ya kwanza ilikuwa more complex .
Am married my diaileile ya mwanzo ilikuwa bomba. haya ya kujinadi hapa lady lady ni wizi mtupu. nitafrahisana lama utarudisha ya mwanzo. hata hivo umesaidia kujua kuwa "L' kwenye NPL ni lady, sijui p na L zinasimamia nini......................... if you dont mind.
any way, naweza kukuPM? lakini mie nataka zaidi ma-singles.......kugombana na watu siwezi................ tehteheeee...........