New hit hip hop song from Izzo bizness "Rafiki"

Anatoa nyimbo nyingi sana kwa kipindi kifupi kama tumeoana Leo, inabidi aweke interval ya muda au ndio kutokujiamini
kwa sasa suala la ngoma nyingi mfululizo kwa msanii haliepukiki!

Maana hawatoi album hivyo si mbaya wakitoa single kwa muda mfupi then wanatoa nyingine
 
True ....awe kama Mr.blue akidondosha dude linakuwa dude kweli ...mboga saba I think its a last edition
Hii kitu ndio huchangia wasanii wetu kupotea!

msanii kuishi na ngoma moja kwa mwaka ni hatari, huenda akatoa ngoma mbovu na yeye kuiamini akaiacha mwaka mzma unafikiri itakua vipi

Kwa sasa Mr blue katoa ngoma inaitwa siwezi, sidhani kama atakaa mwaka mzma tena akitegemea ngoma hii
 
Duh sijaiskia mkuu hiyo bado
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom