New Generation: Je, ni nani Mfalme wa Kizazi kipya cha Rap/Hip Hop Bongo?

Hadi Fat Joe kamu DM CANABINO ku appreciate mimi ni nani nipinge?
iamconboi___B-1ZcOSDj3O___.jpeg
 
"This is conboi cannabino and you are listen to double XL,we would be right back,you feel me"..

Nilifurahi sana clouds walivyomtumia kwenye jingle zao za XXL..

Sema muziki wetu bado sana aisee...kwa kipaji cha huyu jamaa ilibidi awe tayari ameanza kutusua maisha,ila nilikutana naye sehemu amechoka tu
 
Sad hao hao waliompa jingo watakuwa wamefanya yao
 
Wanangu 99 watsup,,I'm chilling with the hottest DJ in the history,, DJ zero..Rapcha nae kaua hii Jingle ya DJ Zigidi
"This is conboi cannabino and you are listen to double XL,we would be right back,you feel me"..

Nilifurahi sana clouds walivyomtumia kwenye jingle zao za XXL..

Sema muziki wetu bado sana aisee...kwa kipaji cha huyu jamaa ilibidi awe tayari ameanza kutusua maisha,ila nilikutana naye sehemu amechoka tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom