New Generation: Je, ni nani Mfalme wa Kizazi kipya cha Rap/Hip Hop Bongo?

Sawa bana ila miziki yote ya sikuhizi iko hivyo haina maana. Tunasikiliza for fun na vibes. Sioni sababu ya kumchukia mwamba eti sababu sijui anaunga vina as long as it sounds good to my ears ninainjoy kinoma kuliko hata kusikiliza takataka za Wasafi.
Atha twende karantini.. ha ha ha ha! mondi mpuuzi sana kweli watu wazima niwakuwaimbisha karantini..
 
Hawa ni wasanii si wanamuziki.....mwanamuziki gani anatumbuiza anatumia CD/playback? Tutolee uchafuu huu, wanaua vipaji vya wanamuziki bure. Ufike wakati tuache kuiga miziki ya watu na kuifanya yetu. Imbeni taarab, singeli na muziki wa dansi....wacheni kuiga iga mnaonekana wapuuzi tu.
Uzamani unakuharibu toa kungu la ujinga
 
Mkuu uyo ni mzee wa ku unga unga vina tu nilikua namkubali ila saivi anapotea ebu angalia ngoma zake za sasa ivi hadi jina la nyimbo yake anakosa kwa sababu hata yeye haelewi ngoma yake inaongelea nini..
Kana chana chana tu bila preferences
 
hiyo namba 4 ilitakiwa iwe on top kwenye list yako
Namfahamu Nala, nmekutana nae kwenye cypher na vilinge vingi kuanzia Kinasa Wazi, Makanta na Afrika Huru Street Cypher..nauelewa uwezo wake na nnauheshimu sana, anafanya poa sana kule underground! Ila binafsi naona kusema Nala ni bora zaidi ya Young Killer ni matusi kwenye game ya Hip-Hop. Ukiacha Young Killer kuwa rapa wa mainstream (labda ni kitu ambacho kinamfanya afeli baadhi ya sehemu kwa kujaribu ku switch), kwa maoni yangu, ni mkali zaidi ya Nala na wengine wengi.
 
Na pia utunzi wao mashairi na mistari havina ushirikiano.
Yaani mada haina mtiririko baada ya kila mstari mmoja mada inabadilika.
Angalau kidogo Roma na Ney wa mitego nyimbo zao zina mtiririko wa mada inayoeleweka.
Kiukweli kwa sasa hakuna best rapper anayefikia hata robo ya rapper wa generations zilizopita

Yaani sijaona wakufikia viwango vya akina Ngwea, Jay Mo, Prof J, Fid, MwanaFA, Chid benz, Afande Sele nk

Nikiwasikiliza hawa wa sasa unaona kabisa hakuna good rhymes, flowing style ya kawaida kabisa, kunata na beatz kuko chini sana,,,, yaani wapo wapo tu ktk nyimbo zao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom