New features in ios 7

Mndengereko

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
7,280
3,345
1.CONTROL CENTER AND NOTIFICATION
apple wameweka setting unazozitumia mara kwa mara katikati mbele kabisa mwa screen yako,ili upate,kupata hiyo kitu itabidi uslide kutoka chini(bottom) ya screen yako, na utapata features kama vile za Wi-Fi meter, brightness, Airplane mode, music controls,n.k
iOS_7_notifications_60x43.jpg
iOS_7_Control_Center_1_60x43.jpg

2.SAFARI BROWSER:
hapa appple wameweka unified search navigation bars zitakuwa zinaondoka mpaka utakappokuwa unazihitaji,kama ilivyo kwenye android phones,na ukiswipe from left to right itakupeleka katika previous au back page.lakni pia wameunganisha url field na search kuwa kama ilivyo katika chrome
3. AIR DROP
hapa mac users wataweza kushare mafile wenyewe kwa wenyewe,na hivi punde itaweza kussuport,i phone 5.ipad mini, na fourth generation i pad,hii itafanya kazi kwa kutengeneza local ad-hoc networks so ukibonyeza share button utaona watu walio karibu yako wanaotumia window 7 na utachangua nani umselect, hii itatumia either bluetooth or wifi network,na kuna option ya kujiweka kama invisible kama hutaki uonekane.
4.MULTITASKING
hapa utakuwa na uwezo wa kuview all opened app na kuchagua ipi uclose ipi ufungue kwa double tap home screen yako
ios7-multitasking-100041457-medium.png

5.AUTO UPDATE:
app amabazo zipo katika appp store zitakuwa zinajipadate automatically so itasave time ya kila mara mtu kuangalia what update are available lakini kama hupendelei auto update user anaweza akaweka off auto update katika setting,hii ni nzuri kwa watu wenye unlimited internet bundles
6. SIRI MATURE:
apple voice assistant sasa hivi imeboreshwa kidogo kuna sauti ya kiume imeongezwa so inaweza ikakufuatilizia pale unapohitaji,saoundwave animation itakuwa on bottom of your screen as you speak utakuwa unaiona inavyopanda na kushuka na result ya siri itakuja katika full screen sio kama zamani,ukilinganisha na google now,kwa kutoa majibu kwa haraka google bado iko juu.
iOS7_Siri_610x553.jpg

.AVAILABILITY:
apple hawajasema tarehe maalum hii kitu lini itaanza kupatikana so kwa watumiaji wa kawaida itabidi tusubiri kidogo kwa sasa only regissterd developer ndio wanaweza wakaipata,

7.UPDATE NYINGINE KWENYE IOS 7 NI KAMA ZIFUATZO:
Unlock the phone, and icons drift down
Revamped weather app shows dynamic weather animations onscreen; pinch for all-city overview
Night mode for maps
iCloud photo-sharing
iCloud keychain remembers sensitive data
Long MMS support
Swipe from day to day in Calendar
Phone, FaceTime, and Message blocking
View PDF annotations
Activation lock to protect against theft
Support for 60fps video capture
App store volume purchase

Maps bookmark synching

Notification sync
Smart download for TV episodes
Smart mailboxes
Wi-Fi hotspot 2.0
Tweaked mail search
Inclinometer support
AirDrop from activity sheet
Background asset downloads
Per app VPN
 
i phone 3g, i pod chini ya Third generation zmeshaptwa na wakat now! Maana kwenye store kila app inataka juu ya ios 4.3 na nyngne ndo ios 5 kabsa na hzo device znaishia ios 4.2.... Nitime ya kuzitupa
 
i phone 3g, i pod chini ya Third generation zmeshaptwa na wakat now! Maana kwenye store kila app inataka juu ya ios 4.3 na nyngne ndo ios 5 kabsa na hzo device znaishia ios 4.2.... Nitime ya kuzitupa

So far apple naona kajitahd sana kafanya mageuzi sana ktk ios yake hajawa conservative wa kung'ang'ania feature zake zilezile za cku zote!!!,hapa android atakuwa na kazi sana ya kubuni smthng new kumpiku ios.
 
daH Bora wamechange maana ios 6 inafanana sana na ya android mpaka kero..sijui wataanzia wapi kucopy hapo..ngoja nijipange na 4s au 5 maana 3gs wanaweza ipiga chini hapo..!!!!
 
daH Bora wamechange maana ios 6 inafanana sana na ya android mpaka kero..sijui wataanzia wapi kucopy hapo..ngoja nijipange na 4s au 5 maana 3gs wanaweza ipiga chini hapo..!!!!

Sure mkuu alafu hyo haipgrediki kwenda ios 6.
 
kweli daah alafu nilisahau kuweka reference kwenye thread yangu ngoja niweke,mwache aruke ruke tu si unakumbuka kilichomtokea alipojitoa kwenye kutumia google map na kuamua kuanzisha map zake??,kuhusu youtube sina details zake kwa sasa,

Hahaaaa!! Aliwapoteza Watalii Australia ... But Bing n moja ya search engine nzur... Na hl suala la google kuvijisha Siri za watu ndo lta wanufaisha kibiasharaa... Kansas nawezasema wame hit bullseye......
 
kwa wataokuwa interested,kuangalia video na kujua ios 7 inaonekanaje tupieni macho kwenye link hii kuna mengi ya kujifunza.

Last edited by a moderator:
Hahaaaa!! Aliwapoteza Watalii Australia ... But Bing n moja ya search engine nzur... Na hl suala la google kuvijisha Siri za watu ndo lta wanufaisha kibiasharaa... Kansas nawezasema wame hit bullseye......

whatever it is ila google ndio master kwenye engiine search,kupata kitu kilekile unachokipata kwenye google ni rahisi kuliko bing,na kama kidogo ni mtundu wa search engine utaona google alivyowarahisishia watu kutafuta details zao kwa kuweka search features na madarasa ya bure ya online ya kufundisha how to use google.
 
mkuu kaangalie preview ya windows 8.1 uone bing inafanyaje kazi, ni balaa ile integration sjapata kuona.

google ni nzuri kwenye universal search kutokana na ukongwe wake ila bing inampita google kwenye integration kama hizi. siri inahitaji integration kubwa kati ya feature za simu, web search nk.

siri si wa kwanza kumditch google alianza facebook na hatakuwa wa mwisho.

tarehe 26 mwezi huu nafkiri windows 8.1 itatoka nikiitia mkononi ntaonyesha tofauti ya hizi search engine
 
nitaangalia na mimi hiyo preview ya window 8.1 nitajitahidi na mimi kupata details za kutosha,then nitakuja kuleta feedbak.
 
Tatzo n kwamba mazoea yametutekaaa maana wengne hata hawaijui bing..... Wao n Google tuuuuuu ... Hata baadhi ya browser default search engine ni gooogle not bing
 
Back
Top Bottom