New England Patriots VS New York Giants (The Perfect Regular Season 16-0 ?)

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
8185xt0.jpg

VS
6sbry36.jpg

6nt2jhw.jpg

85wsqb5.gif


Game Info:
Time : 8:15pm ET
TV: CBS, NBC , NFL Network

WATU WA STATES TUPENI HIZO UPDATES

 
mi naangalia huu mchezo sky hata sielewi. kila wakati wanapumzika. aargh, ngoja niende brazameni kona.
 
Mie sitaki kuona 'the perfect record' hivyo nitafurahi sana kama Giants wakishinda 38-31....:) bado kuna dakika nyingi tu, lakini Patriots ni timu nzuri.
 
mi naangalia huu mchezo sky hata sielewi. kila wakati wanapumzika. aargh, ngoja niende brazameni kona.

LOL!...You can not compare this sport with a REAL FOOTBALL. Football, soccer, kabumbu, kandanda is something very special. Msalimie brazameni ukimuona huko kwenye maeneo yake ya kujidai...:)
 
Wanangu Pats hatimaye wamefanya kweli season hii. Sijui ile kashfa ya game ya kwanza iliwapa hasira!

Sasa ni kuendeleza kichapo post season halafu maneno super bowl, once again Pats are back on top!
 
huyu brady si mchezo..hii play iliyoza td..jamaa wote walikuwa covered lakini bado watu wamepiga td
 
95 yards drive...ila jax sijui tuseme hawana bahati huwa wanajitahidi sana...naona leo Favre kafanya mambo.
 
Kiboko yao Colts watawasimamisha tena mwaka huu na kuharibu 'the perfect season'
 
Kiboko yao Colts watawasimamisha tena mwaka huu na kuharibu 'the perfect season'

Haya naona mambo sio mambo ndani ya RCA Dome....the question is will Tony Dungy stay ama ndio naye anastaafu.
Chargers fought hard alafu LT alikuwa sidelines still haikuwa stop
 
Superbowl

Patriots Vs Green Bay

I was so disappointed with Colts especially Manning...:(
I hope Tony Dungy will be back next season.
 
Back
Top Bottom