New discoveries boost Tanzania's gas reserves, Tanzania's hydrocarbon reserves heats up

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,781
Fri Sep 23, 2011 7:36am GMT


* Deposits rise to more than 10 trl cubic feet of gas

* Govt eyes gas exports to neighbouring countries
* Interest in Tanzania's hydrocarbon reserves heats up

By Fumbuka Ng'wanakilala

DAR ES SALAAM, Sept 23 (Reuters) - Tanzania's current natural gas reserves have risen to more than 10 trillion cubic feet (tcf) from a previous estimate of 7.5 tcf following major gas discoveries in the country's deep-water offshore region.

Energy and Minerals Minister William Ngeleja said in a newspaper advertisement on Thursday the east African country has earmarked some of its growing gas deposits for export.

"Three offshore gas fields have been discovered in the deep waters and plans are underway to appraise the gas fields for possible development," Ngeleja said.

This brings the total number of gas fields found in the country's offshore area to seven.

Tanzania had previously discovered gas deposits in four areas -- Songo Songo island off the eastern coast, in nearby West Songo Songo, Mnazi Bay in southeastern Tanzania and Mkuranga near Dar es Salaam.


"Preliminary indications show that Tanzania may have sizable gas reserves of more than 10 trillion cubic feet which can beneficially be developed to meet our local demand and for export," he said.


Two of the natural gas discoveries are already supplying gas to the country's commercial capital, Dar es Salaam, to produce electricity and power industries.

Ngeleja said there were 15 exploration companies searching for oil and gas in the country.

Interest in east Africa as a new hydrocarbon region has been heating up in recent years after major discoveries of oil in Uganda and natural gas in Tanzania and Mozambique.


NEW PIPELINE

"Exploration for petroleum started way back in the 1950s, and although we have not discovered liquid hydrocarbons, natural gas has been discovered in a number of places in our sedimentary basins in the country," he said.

Tanzania is seeking a $1.06 billion loan from China to build a natural gas pipeline from Mtwara region in the southern part of the country to Dar es Salaam, following a sharp rise in energy demand for power generation.

"The new pipeline is deemed to be a priority and strategic project for the government in pursuit of securing sufficient natural gas," the minister said in the statement.

He said implementation of the pipeline project, which would enable thermal power plants to switch from expensive oil imports to natural gas, was expected to start in December.


A study by the East African Community shows a separate pipeline to move natural gas from Dar es Salaam to the Kenyan port city of Mombasa would cost up to $630 million.


The state-run Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) said on its website more than 50 hydrocarbon wells were at various stages of exploration and development in the country.


Brazilian petroleum company Petrobras was expected to start exploration this month for oil and gas off the coast of Tanzania, which is known to have significant gas deposits.


Tanzania has postponed its fourth deep offshore bidding round to next year to allow it to offer new blocks discovered by its latest seismic survey.


Initially scheduled for April, it was expected to invite bids for 13 deep offshore blocks located around 1,200 and 3,000 metres below sea. (Editing by Jason Neely)© Thomson Reuters 2011 All rights reserved
 

jebs2002

JF-Expert Member
Sep 3, 2008
8,151
6,546
Sawa sawa, tuna oil, gas, maji, gold, diamonds, tanzanite, uranium, copper, nickel etc etc etc.

Lakini mbona hatuoni faida yake????????????
 

i411

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
898
281
Jamani tutafika tuu acheni majungu, hiyo gas itatushushia kabei ka umeme na kukiwa na kampuni nyingi ndo bomba zaidi manake bei zitashuka na itakuwa faida kwetu siyo tuu kama sasa kutegemea twiga mzembe
 

Bukyanagandi

JF-Expert Member
Jun 24, 2009
10,242
12,860
Kama nigekuwa na mamlaka, ningewaomba Wachina wachimbe Gas ya Mkuranga haraka hiwezekanavyo lakini mimi sioni kama serikali yetu hilo inalitilia maanani, wako obsessed na Mnazi Bay sijuhi kwa nini!

Wazungu wanaozalisha gas pale Mnazi nilikuwa nahisi walikuwa wakati mwingine wanatuchezea shere kwa kuwa ndiyo walikuwa wana-monopolise uzalishaji na usambazaji wa nishati hii muhimu ya GAS, kwa hiyo Serikali kuhamua kujenga bomba jingine mbadala kutoka Mnazi Bay kuja DAR kidogo umewatia adabu.

Natural gas ni ya muhimu sana siyo katika ufuuaji umeme tu bali hata matumizi ya nyumbani, kitu ambacho nina huakika kitatuhokoa katika matatizo ya umeme ni GAS na siyo Maji, tukiweza kushirikina na Wachina kikamilifu katika uchimbaji wa GAS ya Mkuranga na usambazaji wa GAS hiyo majumbani na katika kuzalisha umeme mbona tutakua tumehua ndege wawili kwa kutumia jiwe moja yaani: kuzalisha umeme na kuokoa misitu yetu kutokana na uchomaji mkaa uliyo kithili sana siku hizi, gas vile vile inaweza kutumika katika undeshaji mitambo na magari.

Mimi sioni kama Wizara ya nishati ina mikakati ya kweli katika uzalishaji wa GAS kwa kutambuwa kwamba GAS ndiyo itaweza kulikwamua Taifa letu kufuatia umuhimu wake niliyo taja hapo juu, badala yake wanakimbilia kununua mafuta mazito ya kuendeshea mitambo ya kufua umeme ambayo inakula mafuta like mad, JK aliwahi kuwambia wamodify mitambo ya IPTL itumie GAS, kwani kuna aliye msikiliza tulendelea kufuja hela zetu za kigine kwa kuagizia mafuta hayo bila simile na hawajali.

Nashauri TPDC hipewe madaraka kamili ya kushugulikia HYDROCARBON RESERVES na kuzi-exploit kwa kushirikiana na investors especially CHINESE, wana siasa wahache kuwaingilia.

Mwisho NSSF iwarudishie jengo lao TPDC, NSSF walicho fanya ni finishing touches tu, structure nzima ilijengwa na TPDC kwa nini wasirudishiwe jengo lao wakatafuta njia ya kulipana kuliko kuwanyanganya jego zima.
 

Ibrah

JF-Expert Member
Mar 22, 2007
2,729
523
Jamani tutafika tuu acheni majungu, hiyo gas itatushushia kabei ka umeme na kukiwa na kampuni nyingi ndo bomba zaidi manake bei zitashuka na itakuwa faida kwetu siyo tuu kama sasa kutegemea twiga mzembe

Juzi Pinda kasema bei ya umeme itapanda. Nakwambia kwa uongozi huu na mfumo huu, hata kama kama umeme ungekuwa maji ya kuvuta baharini, bei haitashuka. Mbona maji tu ya bombani yantushinda kupata pamwe na mito na maziwa lukuki.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom