New directors rules in favour of CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

New directors rules in favour of CCM

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by African, Sep 22, 2010.

 1. A

  African Member

  #1
  Sep 22, 2010
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  Newly appointed Director of Arusha Municipal Council, Estomi Chang’ah started working yesterday by approving an objection filed by CCM candidate for Arusha seat, Dr Batilda Buriani against her Chadema rival, Godbless Lema. She claimed that Lema was using inciting and insulting language in his campaign. The director, in his capacity as returning officer, ruled in favour of CCM and slapped a fine of Sh 100,000 on Lema, with a strong warning that he might be banned from campaigning if he persists. The ruling by Chang’ah is different from that of his predecessor, Raphael Mbunda, who was given an abrupt transfer from Arusha. The transfer came after Mbunda hesitated to sustain the objection. (Mwananchi)
   
 2. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #2
  Sep 22, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kuna haja ya kuwa na sheria kuwa campaign zikianza ni marufuku raisi kuteua au kumwachisha kazi mtu yeyote yule mpaka raisi mpya atakapoapishwa.
  To me what happened in Arusha is a mere none sense.
   
 3. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #3
  Sep 22, 2010
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,755
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Endapo chanzo cha habari ni Gazeti la Mwananchi, basi habari hii ingesomeka kwa kiSwahili hapaliwa na haja ya kutafsiri tena, vinginevyo inaweza kupotosha ujumbe.
   
 4. M

  Maluo Member

  #4
  Sep 22, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  inasikitisha na inauma na inasadikika aliachishwa alikuwa ni mtendaji makini na alianza kuondoa uoza uliokuwa umejikita katika ofisi za manispaa ya arusha sasa huyu mtu pamoja na utendaji wake mzuri anaondolewa kwa ajili ya uchaguzi wa kiongozi ambaye yeye amekuwa waziri wa mazingira lakini hakuna hata jambo moja aliloweza kulifanya katika jiji la arusha kwa nafasi yake hiyo kwani bado mpangilio wa huu mji ndiyo chanzo cha uchafu mkubwa na uoza mkubwa na sasa tumeanza kuelekea kwenye msongamano wa magari nk mji huu haufai hata kuwa jiji na mbaya zaidi aliyekuwa waziri wa mambo ya nje wakati EAC inaanza upya aliona ni sawa kabisa makao yake makuu yajengwe just aside of the AICC building wakati hii ni insitution inayokuwa wangepatiwa eneo kubwa kama tengeru ama usa-river ama maji ya chai ingekuwa ni sahihi zaidi kuondoa msongamano wa magari mjini kuweza kuutumia ipasavyo uwanja wa ndege KIA na kuondoa kabisa mlundikani wa magari na ufinyu wa nafasi kwa kuwa wangeweza kabisa kuanzisha kijiji cha africa ya mashariki

  hivyo inaniuma sana hawa watu wenye akili mgando wanatumia madaraka yao kukandamiza haki za wenye utashi wa kuthubutu na kuongoza kwa usahihi zaidi

  cheers
   
Loading...