New deputy permanent secretaries | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

New deputy permanent secretaries

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Dua, Nov 2, 2007.

 1. Dua

  Dua JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2007
  Joined: Nov 14, 2006
  Messages: 2,481
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  JK picks new deputy permanent secretaries

  Sasa viini macho vimeanza, tunategemea waliosaini mikataba mibovu wang'olewe na hiyo mikataba ibatilishwe kwa sababu haina faida na walipa kodi Watanzania.
   
 2. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #2
  Nov 2, 2007
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Hivi mnajua ni watu wangapi wametoka wizara ya fedha kwenda PMO? Kuanzia jamaa aliyezua suala la Mkapa hadi wale wengine..
   
 3. N

  NakuliliaTanzania JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2007
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 560
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hahahaha makubwa....sasa akiwahamisha ndo inasaidia nini mkuu?
   
 4. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #4
  Nov 2, 2007
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Nakulilia, waweke rafiki zako karibu, lakini adui zako karibu zaidi...
   
 5. Mtoto wa Mkulima

  Mtoto wa Mkulima JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2007
  Joined: Apr 12, 2007
  Messages: 687
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  mkuu unaweza fafanua kidogo hapo?
   
 6. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #6
  Nov 2, 2007
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Mtoto wa Mkulima, angalia uteuzi wote alioufanya JK na watu waliohamishwa toka idara nyingine kwenda Ofisi ya Waziri Mkuu, utaona waliotoka Wizara ya Fedha wamekusanywa PMO... just an observation, yawezekana kuwa ni nasibu tu..
   
 7. franktemu123

  franktemu123 JF-Expert Member

  #7
  Dec 2, 2016
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 775
  Likes Received: 299
  Trophy Points: 80
  Si vibaya kujikumbusha awamu ya NNE
   
Loading...