Inkoskaz JF-Expert Member Nov 6, 2010 6,372 2,374 Oct 4, 2011 #1 Jaman darasa langu silijui wala mwalimu wangu simjui, nani atanisaidia kutambua shule hii? Advance thanx!
Jaman darasa langu silijui wala mwalimu wangu simjui, nani atanisaidia kutambua shule hii? Advance thanx!
U Ulimakafu JF-Expert Member Mar 18, 2011 29,026 10,673 Oct 4, 2011 #2 Inkoskaz said: Jaman darasa langu silijui wala mwalimu wangu simjui, nani atanisaidia kutambua shule hii? Advance thanx! Click to expand... Dah,umekuja kivingine mkuu.
Inkoskaz said: Jaman darasa langu silijui wala mwalimu wangu simjui, nani atanisaidia kutambua shule hii? Advance thanx! Click to expand... Dah,umekuja kivingine mkuu.
Mamndenyi JF-Expert Member Apr 11, 2011 40,587 52,263 Oct 4, 2011 #3 ms anafanya mitihani akimaliza mitihani atafanya hii kazi yako.
U utantambua JF-Expert Member Aug 1, 2011 1,367 321 Oct 4, 2011 #5 Ushaenda ofisi ya displini masta kumsalimia Mwl Paw?
feis buku JF-Expert Member Aug 29, 2011 2,342 676 Oct 4, 2011 #6 we ni wa kunifulia soksi tu,na kunifatia chakula mesini!
C c..rella Brains Member Oct 3, 2011 66 10 Oct 4, 2011 #7 Shule umepata!!we fanya hivi, hako kabahasha ka skul-fees, ripoti nako apa.!
Inkoskaz JF-Expert Member Nov 6, 2010 6,372 2,374 Oct 4, 2011 Thread starter #11 Nashkur kwa kukaribishwa ktk shule hii yenye kila aina ya vituko, asanten xana wanafunz wenzangu now naenda class Kama vp mida!
Nashkur kwa kukaribishwa ktk shule hii yenye kila aina ya vituko, asanten xana wanafunz wenzangu now naenda class Kama vp mida!
mikatabafeki JF-Expert Member Dec 29, 2010 12,772 4,641 Oct 4, 2011 #12 chukua hii sh 100 kanunue BANSEN BURNER na chai pale canteen
Donnie Charlie JF-Expert Member Sep 16, 2009 15,128 16,194 Oct 4, 2011 #13 hakikisha umekuja school fees ya mwaka mzima, vinginevyo invincible atakurudisha nyumbani