New Barrick eyes several options to end Tanzania tax dispute: CEO

Dumbuya

JF-Expert Member
Jan 23, 2014
559
1,000
Tatizo unafiki na uzadiki umetujaa watanzania kwenye hili Saga kuna watanzania wanaopenda tufanikiwe na kuna watanzania wanaotaka tufeli
Rasilimali zetu zinapaswa zituonganishe kuwa wamoja katika Taifa kwani ni urithi wetu sote...Ni kheri kukaa kwa pamoja na kuamua njia sahihi ya kupitia kuliko kutengana kwani hata maadui hutumia mtawanyiko huu huu kupenyeza interest zao.
 
mkululu

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
217
250
Yap,yap! Ila mjinga mingi inataka kila lenye mafanikio tuwe tunashinswa tu. Mimi naamini nafsi huwa zinawasuta, ni unafiki tu ndo unawasumbua.

Sijui wanadhani wanamkomoa nani? Hawa wazi kama watoto na wajukuu zao inatakiwa waje nao warithi neema?.
Tatizo unafiki na uzadiki umetujaa watanzania kwenye hili Saga kuna watanzania wanaopenda tufanikiwe na kuna watanzania wanaotaka tufeli
 
Imeloa

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
8,216
2,000
Utawala wa sasa ndio umefanya nchi imekuwa deeply polarized kwa kuchochea siasa za chuki na kuwabagua watanzania ktk misingi ya vyama.

Wanataka kila moja awe na mtizamo kama wao bila kujua kuwa ktk siasa ya vyama vingi kila chama kinafagilia sera na itikadi zake. Hakuna siku yoyote chama chochote cha upinzani kitakaa kuunga sera au itikadi ya chama tawala labda hicho chama kiwe pandikizi.

Kadri Bw. Magufuli atakavyozidi kuwagawa watanzania kwa misingi wa vyama kuwa sisi ccm na wao wapinzani, ategemee kupingwa siku zote na kamwe jitihada zake zoote anazofanya hazitazaa matunda na atafeli vibaya kwa sababu nchi haina "Cohesion or any sense of Solidarity without which no any country can achieve any meaningful development". It'll be tantamount to the one chasing the wind.
 
Rogojin The Idiot

JF-Expert Member
Jul 25, 2017
1,899

Tanzania ndio mama yetu. Tunataka kuiua sababu ya utawala huu? We don't have values about our motherland?
What an excuse!
 
Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
3,738
2,000
Sababu watu wengi mitandaoni wanapenda kusikia Habari mbaya mbaya tu ili malengo yao ya kisiasa yapate tija.
huwezi kuwaona...............ila ingekuwa Tanzania imepata aibu au imefeli kesi wangekuwa wengi kweli .................alafu wangekuja na visuluhisho vyao vya ajabu ajabu
Uzi kama huu huwezi kuwaona
Hahaha msaliti Tundu Lisu chali na machadema yake
Habari za Maendeleo na kulinda Rasilimali zetu sasa basi, tumeandaa maazimio yetu huko Zanzibar ili tufanye mikutano isiyo na kibali tujirecord tuwapelekee wazungu waone uminywaji wa demokrasia nchini watunyime misaada ili Magu afeli.
 
Oii

JF-Expert Member
Sep 8, 2017
3,765
2,000
Utawala wa sasa ndio umefanya nchi imekuwa deeply polarized kwa kuchochea siasa za chuki na kuwabagua watanzania ktk misingi ya vyama.

Wanataka kila moja awe na mtizamo kama wao bila kujua kuwa ktk siasa ya vyama vingi kila chama kinafagilia sera na itikadi zake. Hakuna siku yoyote chama chochote cha upinzani kitakaa kuunga sera au itikadi ya chama tawala labda hicho chama kiwe pandikizi.

Kadri Bw. Magufuli atakavyozidi kuwagawa watanzania kwa misingi wa vyama kuwa sisi ccm na wao wapinzani, ategemee kupingwa siku zote na kamwe jitihada zake zoote anazofanya hazitazaa matunda na atafeli vibaya kwa sababu nchi haina "Cohesion or any sense of Solidarity without which no any country can achieve any meaningful development". It'll be tantamount to the one chasing the wind.
Kafieni mbele huko, hamna watu nyie, hampendwi na majority, hamtapa wakuwaunga mikono sababu mnataka mabaya yaikumbe nchi yetu. Mshafail

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yamindinda

JF-Expert Member
Jul 29, 2011
1,581
2,000
Habari za Maendeleo na kulinda Rasilimali zetu sasa basi, tumeandaa maazimio yetu huko Zanzibar ili tufanye mikutano isiyo na kibali tujirecord tuwapelekee wazungu waone uminywaji wa demokrasia nchini watunyime misaada ili Magu afeli.
hahahahahahahahhahaahaha balaaaaa sana
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom