New alert:-CUF:-MAANDAMANO MAKUBWA YA KATIBA MPYA J/NNE | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

New alert:-CUF:-MAANDAMANO MAKUBWA YA KATIBA MPYA J/NNE

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by Kivia, Dec 25, 2010.

 1. K

  Kivia JF-Expert Member

  #1
  Dec 25, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 278
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  CUF-chama cha wananchi, kinawatangazia wanachama na wananchi MAANDAMANO MAKUBWA YA KUPELEKA RASIMU YA KATIBA MPYA KWA WAZIRI wa katiba/sheria siku ya j/nne tar 28/12/10 saa 2 asub. Kuanz BUGURUN-WIZARANI na kufuatiwa na mkutano wa hadhara Mnazi mmoja. Source kipeperushi
   
Loading...