New Age: Dini mpya ya ulimwengu

kiukweli binafsi huwa naona humu na kwingineko mada zenye maudhui yanayofanana na haya uliyoandika lakini kwa mtazamo tu wa kawaida unaona ni upuuzi kwani kama m/mungu angetaka tuwe na huo uwezo nafikiri ingekuwa hivyo toka awali kwani ni mambo ya kiroho zaidi

Naungana na wewe kukemea na kuukataa huu uongo.
 
V
Huyu jamaa kapuyanga sana .... yaani laiti kama angelijua kuwa dini za budha na hindu ni dini enyeji duniani basi nadhani angekubaliana. Nami bila shaka kuwa uislam.na ukristo ndio new Ages alizozisema ..dini hizo zinazaidi ya miaka 4000 wakati dini zake za uislam na ukiristo ni za juzi juzi tu kama ukiristo ni miaka 2000 uislam hata miaka 1800 hauna...ila kwakuwa haujui ngoja tumuache

Sent using Jamii Forums mobile app
Bw Hearly kuwepo muda mrefu dini hizo hakuzipi legitimacy ya kuwa ni mwongozo sahihi (in faith context).
 
Waislamu wao wana mungu wao na wakristo nao Wana MUNGU wao.

Ni upumbavu na ujinga kusema waislamu na wa Kristo Wana AMINI katika Mungu 1 jibu Ni Hapana.

Mungu wa wakristo anaitwa Yahweh/ El Shadai/Jehovah/Mungu Mkuu

lakini,Mungu wa Waislamu anaitwa
Allah!.

Fuatilia baadhi ya Nchi na vikundi huwa wanasema
"There is no God,There is Allah"

Wakimaanisha "Hakuna Mungu,Kuna Allah"

Huu ujumbe ni wa Zurri
 
Huu ujumbe ni wa Zurri
Ahah nauwezo wa kuwachambua Kwa Undani zaidi,
Chimbuko la "Allah" na makao Yake.

Ukiwasoma wale waislamu waliokubuhu (Wanazuoni na washika dini haswa)
Wao wenyewe huwa wanasema, "Sisi tunaye Allah na tuna Muamini Huyo,na Wala hatumtambui God 'Mungu'"

Ajabu,ukija kwa waislamu wa Huku,Wana mfananisha Mungu wa wakristo na Mungu wa Kwao.

Laiti Kama Mungu wa wakristo na mungu wa Waislamu angekuwa ni yule yule mmoja.basi hakungekuwa Na mgawanyiko Wala Malumbano ya hizi dini na kila Moja kuvutia kwake. na kusema wana Mungu Mkuu.

kitendo Cha kila dini ku judge dini ya mwenzake Ni kuwa hawana Mungu 1.

Mwisho kabisa,kila dini huwa Ina Muabudu Mungu Watofaut Yaani huwa na Mungu wake..

Sasa na kila dini huwa inasema "Mungu wao ndiyo Mkuu"
hahaha patamu hapo.
 
Huu ujumbe ni wa Zurri

Nimeitikia wito.

Unajua kwamba "Mungu" ni jina tu kwa kumaanisha yule apasae kuabudiwa. Lakini tamko hili limekaa kilugha sana. Kwa waswahili yule apasae kuabudiwa kwa haki,waswahili waliamua kumuita "Mwenyezi Mungu". Tamko kwa waswahili halina wingi bali lina umoja daima. Mungu ni tamko ambalo si stahiki sana kwa kumkusudia Mwenye kupasa kuabudiwa,na matamko yote mawili hayatoshelezi kumuelezea,ila kwa waswahili wanamkusudia yule mwenye kupasa kuabudiwa.

Tamko "Mungu" lina wingi na mimi huwa aipendi kulitumia sababu halikidhi haja.

Ukweli uko hivi "Tunaweza kumuelezea Mola tofauti lakini tukawa tunamkusudia yule yule,lakini hii haimaanishi tuko sawa"

Uliyemnukuu Truth Teller hoja yake ni dhaifu sana na haipaswi kutolewa mfano au kuegemea kwayo kwani amezuzuka na majina na kuipuuza sifa. Namuuliza uliyemnukuu "Wakristo ambao ni Waswahili huwa wanamuwasilisha kwa jina gani yule apasae kuabudiwa ?"

Mgawanyiko wa Waislamu na Wakristo hauletwi kwa jina bali unaletwa kwa mapokeo yaani mafundisho.

Nakuja kuendelea hapa nilipoishia.
 
Vipi wale waswahili wanaoabudu mizimu na kuifanya kuwa ndio miungu yao ?

Tamko "Mungu" limekua ni lenye kuenea kutokana na mapungufu yake kwa wenyewe.

Tofauti ya Waislamu na Wakristo hailetwi kwa matumizi ya jina Mungu,bali unaletwa kwa tofauti ya mafundisho na namna ya kumuelezea ila wote huwa wanamkusudia yule yule na makosa huwa yanatokea pale wanapo muelezea. Ndio maana kwa wakristo wanaposema Mungu Mkuu huwa wanakusudia yule ambae ameumba mbingu na ardhi na waislamu kadhalika.

Lakina kwa kanuni za Uislamu zinasema ya kuwa muislamu anaweza kumuelezea Mola aliyeumba mbingu na ardhi na vyote vilivyomo kama vile alivyojielezea mwenywe au kama vile alivyoelezewa na mtume wake.

Nipo ....
 
Ibilisi yuko kazini, watu wa Mungu mlio bado na IMANI msiyumbe!! ni uwongo wa shetani huo!
 
Waislamu wao wana mungu wao na wakristo nao Wana MUNGU wao.

Ni upumbavu na ujinga kusema waislamu na wa Kristo Wana AMINI katika Mungu 1 jibu Ni Hapana.

Mungu wa wakristo anaitwa Yahweh/ El Shadai/Jehovah/Mungu Mkuu

lakini,Mungu wa Waislamu anaitwa
Allah!.

Fuatilia baadhi ya Nchi na vikundi huwa wanasema
"There is no God,There is Allah"

Wakimaanisha "Hakuna Mungu,Kuna Allah"
ikiwa wanaabudu Mungu tofauti, ndio nikataka kujua Mungu yupi ndio wa kweli ? maana naona analaumiwa tu shetani
 
Duh! Yoga Uchawi, Meditation Ushetani, tu kwa sababu ni vitu vinavyompa binadamu Nguvu za kiroho, ila kwenda kwenye ibada za dini ambazo hazina nguvu yoyote (mnatoka kama mlivyoingia) ndio jambo ambalo Mungu anataka. ENYI WATU WA DINI ZA KULETWA NA MABWANA WENU WA UTUMWA KUWENI MAKINI HIZI NYAKATI NI ZA MASHAKA. Dai nguvu zako za kiroho ulizodhulumiwa na hao mashetani weupe, hawana lolote la maana wanakuchanganyeni tuu wawauwe kiroho ukishakufa kiroho kimwili ni rahisi kukufanya chochote wanachotaka. Msidanganyike na maagent wa shetani wanaojifanya wanasambaza habari njema, CLAIM BACK YOUR POWER, nyakati zijazo bila ya kuwa na utambuzi wa nguvu zako za kiroho hautoweza kusurvive at any means you will die and be discarded to the dark matter, bring on your light and illuminate the world, achaneni na propaganda za hizo dini zilizopokelewa na mababu zetu baada ya Mijeredi, kunyongwa, kuchinjwa, na kuchomwa moto wakiwa hai, someni historia na mjue mambo yalipoanzia msiwe watu wa mapokeo tu bila kuumiza kichwa kufikiri. TUMIENI VICHWA.

MUNGU yupo ndani yenu, anayewaambia Mungu yupo mawinguni sijui mbinguni anawatenganisha na Mungu aliyewaumba halafu anawaunganisha na Mungu wake aliyejitengenezea yeye,
95% of population in this world mnaabudu Mungu aliyeumbwa na wanadamu wenzao huku wakimwacha Mungu aliyewaumba bila hata kumfahamu kwa sababu wamedanganywa kujaribu kumjua Mungu ni Uchawi na Ushetani. Kwa hiyo wanaishi maisha yao yote bila kumjua mungu wa kweli wanaishia kumjua mungu wa kwenye vitabu aliyetengenezwa na binadamu wenzao.
I FEEL SORRY FOR Y'ALL
 
Umenena mkuu na mwenye masikio na asikie haya maneno yamenipa nguvu sana.
 
Vipi wale waswahili wanaoabudu mizimu na kuifanya kuwa ndio miungu yao ?

Tamko "Mungu" limekua ni lenye kuenea kutokana na mapungufu yake kwa wenyewe.

Tofauti ya Waislamu na Wakristo hailetwi kwa matumizi ya jina Mungu,bali unaletwa kwa tofauti ya mafundisho na namna ya kumuelezea ila wote huwa wanamkusudia yule yule na makosa huwa yanatokea pale wanapo muelezea. Ndio maana kwa wakristo wanaposema Mungu Mkuu huwa wanakusudia yule ambae ameumba mbingu na ardhi na waislamu kadhalika.

Lakina kwa kanuni za Uislamu zinasema ya kuwa muislamu anaweza kumuelezea Mola aliyeumba mbingu na ardhi na vyote vilivyomo kama vile alivyojielezea mwenywe au kama vile alivyoelezewa na mtume wake.

Nipo ....
Labda nikuambia kitu ambacho HUJUI.

Na Nikufungue Macho.
Mungu wa wakristo anaitwa
Yahweh/Jehovah/El Shadai
upo Hapo???

hata wale Wanaoabudu mizimu huwa.ile miungu wanaipa majina yao.
Upo Hapo??

Hata waislamu Wana mungu wao, anaitwa Allah upo hapo?

Dhana Ya Mungu Ni Moja lakini matumizi ya Mungu Ni tofauti.
na ndicho kitu ambacho kipo.

Je,wakristo na waislamu Wana abudu katika Mungu mmoja????
Naomba nijibu
 
ikiwa wanaabudu Mungu tofauti, ndio nikataka kujua Mungu yupi ndio wa kweli ? maana naona analaumiwa tu shetani
Kila Dini Ina jinasibisha wao ndiyo Wana Mungu wa kweli na Mungu ni wa kwao.ukiwasikiliza wakristo huwa wanasema Yahweh ndiye Mungu Mkuu.

lakini Ukienda kwa Waslamu wanasema Allah ndiye mungu mkuu

lakini Wote wanatumia Maandiko kukosoana.
Ambayo yapo kwenye vitabu vyao.

na Wote wanatuhumiana kuwa dini yao imeanzishwa na shetani
i.e Mkristo anasema shetani ndiye alianzisha dini ya Islamic na hata muislamu udai shetani alianzisha ukristo.

so,Wote wanapambana na kusemana Ni mashetani.ko hizi dini ni mahasimu na maadui wao kwa wao.

NB:DINI NI IMANI.
 
Labda nikuambia kitu ambacho HUJUI.

Na Nikufungue Macho.
Mungu wa wakristo anaitwa
Yahweh/Jehovah/El Shadai
upo Hapo???

hata wale Wanaoabudu mizimu huwa.ile miungu wanaipa majina yao.
Upo Hapo??

Hata waislamu Wana mungu wao, anaitwa Allah upo hapo?

Dhana Ya Mungu Ni Moja lakini matumizi ya Mungu Ni tofauti.
na ndicho kitu ambacho kipo.

Je,wakristo na waislamu Wana abudu katika Mungu mmoja????
Naomba nijibu

Hili ndio tatizo la kukurupuka,nikajua unakuja na jambo jipya.

Nekwambia tofauti inakuja katika kumuelezea ila wanakusudia ni yule yule na hiyo ndio dhira lwa maana lengo la makusudi.

Sasa hizi ngonjera kama ungekuwa umeelewa maneno yangu usingpoteza muda kuandika uliyo yaandika.

Mungu wanae muomba wakristo yuko wapi ? Yaani makazi yake ni wapi ?

Uwe unasoma na kuelewa na usiwe unajidai umesoma na kuelewa.
 
Huwezi nambia chochote kuhusu meditation wewe una iamini dini yako unaitambua sawasaw?
 
HAKUNA haja ya kuandika kwa kejeli/Kebehi.

Mungu wa wakristo Ni tofauti na mungu wa waislamu

wakristo wanaamini Mungu Wao (Yahweh) kagawanyika katika Nafsi/sehemu/Nafasi 3.ambazo Ni
-Mungu Mkuu/Baba
-Mungu Mwana/Yesu Kristo
-Mungu Roho/Roho Mtakatifu

Lakini Waslamu wao Wana mungu wao (Allah)
Ambaye Huw
Hana usharika na mtu Wala kiumbe yeyote na Wala hajawahi kuzaa Wala Hana mke.

Sasa ki,vipi useme kuwa Mungu ni yule yule???

Matumiz ya Mungu yasikuchanganye
Ni jina Moja (Mungu)
lakini wapo tofauti.
na kila upande usema wao Wana Mungu Mkuu.

wapi una kwama??

Wewe ndio unakwama na kurudia jambo ambalo liko wazi.

Lazima utofautishe kati ya dhamira na sifa.
 
Nimeitikia wito.

Unajua kwamba "Mungu" ni jina tu kwa kumaanisha yule apasae kuabudiwa. Lakini tamko hili limekaa kilugha sana. Kwa waswahili yule apasae kuabudiwa kwa haki,waswahili waliamua kumuita "Mwenyezi Mungu". Tamko kwa waswahili halina wingi bali lina umoja daima. Mungu ni tamko ambalo si stahiki sana kwa kumkusudia Mwenye kupasa kuabudiwa,na matamko yote mawili hayatoshelezi kumuelezea,ila kwa waswahili wanamkusudia yule mwenye kupasa kuabudiwa.

Tamko "Mungu" lina wingi na mimi huwa aipendi kulitumia sababu halikidhi haja.

Ukweli uko hivi "Tunaweza kumuelezea Mola tofauti lakini tukawa tunamkusudia yule yule,lakini hii haimaanishi tuko sawa"

Uliyemnukuu Truth Teller hoja yake ni dhaifu sana na haipaswi kutolewa mfano au kuegemea kwayo kwani amezuzuka na majina na kuipuuza sifa. Namuuliza uliyemnukuu "Wakristo ambao ni Waswahili huwa wanamuwasilisha kwa jina gani yule apasae kuabudiwa ?"

Mgawanyiko wa Waislamu na Wakristo hauletwi kwa jina bali unaletwa kwa mapokeo yaani mafundisho.

Nakuja kuendelea hapa nilipoishia.
Mkuu nasisi weusi tumepokea kutoka kwa nani
 
Similar Discussions

18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom