little master
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 1,303
- 2,352
Pia ukisema dini zote kubwa umedanganya Hata Buddha au Hindu ni dini kubwa na wanafanya hayo.Haya maneno yanaukweli maana kwenye vitabu vya Dini zote kubwa hakuna haya mambo sijui Astra projection, meditation wala hatukusikia mitume km walikua wanafanya mambo haya
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app