New administration under Samia Suluhu gives hope after 5 years of hopelessness

Wanataka apate Korona afe waseme umeme ulikatika kama Mwendazake
PSX_20210726_174334.jpg
 
Mbowe ni gaidi, anachopata anastahili..
Siyo gaidi ni mroho wa madaraka na mali tu kama CCM walivyo. Tofauti ya Mbowe na CCM ni wenzake wana majeshi wakati yeye ana domokaya vinginevyo ni ndege ambao walipaswa kuruka pamoja.

Ugomvi wake na CCM siyo katiba bali nani ale na nani alale na njaa.

Kama Mbowe anakerwa na katiba angeonyesha njia kwa kurekebisha ya CDM na kurejesha ukomo wa madaraka alioufuta na kung'atuka hapo angeeleweka. Lakini kinyume cha hapo ni kusaka madaraka na mali
 
Siyo gaidi ni mroho wa madaraka na mali tu kama CCM walivyo. Tofauti ya Mbowe na CCM ni wenzake wana majeshi wakati yeye ana domokaya vinginevyo ni ndege ambao walipaswa kuruka pamoja.

Ugomvi wake na CCM siyo katiba bali nani ale na nani alale na njaa.

Kama Mbowe anakerwa na katiba angeonyesha njia kwa kurekebisha ya CDM na kurejesha ukomo wa madaraka alioufuta na kung'atuka hapo angeeleweka. Lakini kinyume cha hapo ni kusaka madaraka na mali
Uko sahihi
 
Uko sahihi
Sijui kwanini CCM inapata ukakasi kuwapa hawa matutusa katiba mpya ambayo haiwapi Tume huru ya uchaguzi.

Ilikuwa rahisi tu peleka bungeni ile rasimu waipitishe chapu chapu. Khalafu uje uchaguzi waone kilimchomtoa nyoka pangoni.

Wakidai katiba mpya wanaambiwa mbona tunayo tena tuliipitisha juzijuzi tu sasa tafuteni khoja nyingine
 
Sijui kwanini CCM inapata ukakasi kuwapa hawa matutusa katiba mpya ambayo haiwapi Tume huru ya uchaguzi.

Ilikuwa rahisi tu peleka bungeni ile rasimu waipitishe chapu chapu. Khalafu uje uchaguzi waone kilimchomtoa nyoka pangoni.

Wakidai katiba mpya wanaambiwa mbona tunayo tena tuliipitisha juzijuzi tu sasa tafuteni khoja
Hivi unategemea ukiwapa katiba mpya hao chadema wataishia hapo kuhusu hiyo katiba? Watakuja na mengine kuhusu hiyo hiyo katiba... dawa ni kuwaacha wapige kelele tu...
 
Baba Askofu is now accusing CCM of receiving bribes from western pharmaceutical companies in order to accept the Covid-19 vaccination.

By induction the whole CCM is corrupt according to Baba Askofu....

The question we need to ponder when will Baba Askofu resign as MP out of protest of cavorting with bribe taking political party? It is one thing accusing CCM of corruption and it is another matter altogether enjoying the fruits of bribery but while rebuking it from the comforts culminating from it

PSX_20210727_142620.jpg
 


Fails to understand the issues before him. We don't want overtaxation which condemns us to perpetual poverty.

TSHS 17 BILL is peanut and no efforts to show how those projects will reduce the pangs of poverty to those affected and nobody knows what happens to major miners who steal our minerals day in day out. Mining regime was reversed to shield big miners from paying their fair share of taxes and a smaller guy is now pummelled to replace a gap created from pampering big miners....

We know bribes inform those who defend big miners from contributing to the development
 
The fake charge sheet (an attachment) against Freeman Mbowe which will keep him away from 2025 elections if the horrendous experience of the Uamsho victims is anything to borrow from. He will be released 2 years after the said elections when the cow has already been eaten. So there will be no clamour for constitutional reforms, at least for now. And, the self imposed exile politician, Tundu Lissu, will be abroad serving his colonial masters to worry CCM of his credible presidential stab comes 2025. Looks like our sister is in no mood to entertain political rivals as she is beginning to silence them no sooner they rear their rebellion stance.

Unlike other countries few even within CDM will put their dear lives on the fireline to clamour for his release.

Most keyboard soldiers will never appear on the streets to salvage what is left of Mbowe political career.

In TZ you must be crazy to agitate for change because the youth do not care therefore why should anybody else..

They love to attend bongo flavour than clamour for political change even the oldies love soccer more than politics so why should you risk your own safety unless you are gunning down your piece of loaf... the youth attend CCM not that they care CCM but to listen and watch their favourite songbirds...so are oldies who may boil themselves if Yanga or Simba lose in "watani wa jadi" matches....had that kind of emotions were invested in politics our situation would have been in a much better shape than now....

Only that makes sense. Mbowe may ultimately succumb to Covid-19 given his unsavoury history with underlying health issues.

We keep insist he must vacate the CDM chairmanship and let the youth carry their own cross...

Mbowe will never be a Mr president nor a premier so he is waging a losing battle.

Why fight a battle which nobody supports you?



View attachment CHARGE - FREEMAN MBOWE & OTHERS, MD, Mendez.pdf
 
Back
Top Bottom