New administration under Samia Suluhu gives hope after 5 years of hopelessness

Slowly but surely, we are heading to a bunch of civil wars unless the Tanzanian youth is entrusted with the management of our economy.


Mkitaka vita vya wenyewe kwa wenyewe endeleeni kuuza nchi iko siku mtawakimbia hawa bija bila ya hata kumuaga mtu.


Sioni DP WORLD kuruhusiwa na hawa vijana kufanya kazi hapo bamdari.


Vijana watajaa hapo bandarini usiku na mchana kuwazuia wasiguse ajira zao.

Tengueni hili azimio la bunge ambalo ni la kifisadi tuendelee ma maboresho ya bandari zetu kulingana ma mpango wao wa miaka 5....


Nyerere angeliuza nchi kama hawa viwavi jeshi nina uhakika asingetawala miaka 24 na miezi 7.
IMG-20230704-WA0037.jpg
 



Halafu baada ya nondo nzito hizi akatuvamia na mkataba wa kuitengua katiba ya JMT pale ambapo sehemu ya nchi haiwajibiki kwa katiba yetu na sheria zake sasa hilo eneo limerudishwa kwa mkoloni wa kiingereza.


Kutumia sheria za uingereza kwenye nchi huru kama hii ni makosa ya uzandiki, ufedhuli na uasi usio na kifani na wahusika wote kama wangelikuwa wanajiheshimu wangelikuwa wamebwaga manyanga lakini kama Mwenyezi Mungu hawamwogopi iwe utu wao?


Unaapa kuilinda na kuiheshimu katiba ya JMT halafu unasaini mkataba ambao hauwajibiki kwa katiba uliyoapa na sheria zitokanazo na hiyo katiba.

Katiba yetu inaelekeza nchi hii itaongozwa na katiba hiyo wewe unaafiki kuikiuka katiba kwa kuridhia katiba ya mkoloni isimamie njia kuu za uchumi wa nchi hii.


Haya yote wayatenda na huoni soooooo na kuachia ngazi.


Katiba yetu ndiyo mhimili wa mali zetu sasa sheria za mkoloni wapi na wapi?


Kama sheria za mkoloni ni bora kulinda utajiri wetu kuliko zetu kwanini tunajitawala?


Kwanini haturudi UN na kukiri Nyerere aliongopa HATUKO TAYARI KUJITAWALA?


Tuvunje bunge na serikali yote na Mwingereza akamate usukani.


Hatuwezi kuleta ubaguzi wa baadhi ya maeneo yanawajibika kwa sheria za nchi hii na baadhi ya maeneo hayawajibiki.


Katiba yetu inakataza ubaguzi wa aina zote na mikataba inayoitengua katiba yetu kutawala nchi hii kwa sheria zetu na maazimio ya kifisadi ya Bunge yanayobariki udhalilishaji wa aina hii mahakama lazima itengue nchi irudi njia kuu.


Huu mchepuko tunaukemea turudi njia kuu ya kuwaamini watanzania wanaweza kusimamia mambo yao yote
 




Huyu Mheshimiwa kashindwa kujibu maswali ya wizi wa kura na kuridhia azimio la kifisadi la kibunge la kutengua katiba ili mkoloni amegewe ardhi ya nchi hii.


Kilichofuata baada ya kushindwa kujibu maswali haya kapelekwa KUZIMUNI anakostahili kwa wote ambao waliweka matumbo yao mbele na kumsahau Mwenyezi Mungu.

Mwenyezi Mungu hatanii alipotuahidi atatutokea kama mwizi. Muda atakapoichukua roho yako wewe hujui kazi yetu ni kuwa tayari.

Kamwe huwezi kuwa tayari kama unalibudu na kulitumikia tumbo lako.
 
How did the government got this all WRONG?

Mibadala iko wapi ikionyesha faida na hasara kwa kipindi hicho hicho cha miaka 10?


DO NOTHING OPTION baada ya miaka 10 itaingiza kiasi gani, ajira je? Ufanisi mizigo mikubwa kiasi gani?


Na mibadala mingine?


Kwanini tujikite kwenye mkataba tena wa DP tu?


Nadhani mnanielewa huu ni mlo wa watu

IMF na WB ndiyo mstari wa mbele kutuingiza mkenge na hoja za ufanisi, mapato na upuuzi unaorandana na huo.


Swali la kujiuliza hivi maisha kwani ni mapato tu ya serikali ambayo watendaji kazi yao ni moja tu KUYATAFUNA tu?




READ THE ATTACHMENT PLEASE.


View attachment We Don't Know Much DP World _230703_232616.pdf
 
MKATABA WA KUUZA NCHI KWA DUBAI SIYO WA NCHI KWA NCHI BALI NI NCHI YA TANZANIA NA KAMPUNI BINAFSI YA DP WORLD!!!!!!!!



Mbona inapokuja mikataba ya nchi ni serikali ya Falme za kiarabu siyo Dubai ndiyo husaini?


Mbona mikataba yao ina muda wa miaka 10? Muda umetajwa kwenye hiyo IGA?

Kama hamna nia au hamkujua mmeuza nchi kwanini mnaingia na jimbo la Dubai badala ya nchi ya Falme za kiarabu?



Mbona IGA yenu haina ukomo wakati hii ina muda wa miaka 10 tu?



Hebu mtujibu haya maswali na mkome kuwanunua wasaniii kuupigia debe ufisadi wenu.


MAONI YETU.


1) Mkataba usiyo na ukomo umepoteza hadhi ya Mkataba kulingana na sheria za mikataba na hivyo ni lazima uvunjwe.

2) Mkataba unaotengua katiba ya nchi na sheria zake ni batili na ni lazima utenguliwe.


3) Mkataba wa nchi na kampuni binafsi iliyodhaminiwa na jimbo la nchi hauna hadhi ya IGA na hivyo ni lazima uvunjwe.

4) Kukosekana kwa tathmini mbadala kunatengua hoja ya uwekezaji huu ni bora kuliko uwekezaji wa aina nyingine kwa sababu hakuna tathmini mbadala ziliwahi kufanyika na kuthibitisha hayo. Mtazamo wetu ni ulaghai kudai tutavuna zaidi chini ya mkataba huu wakati hakuna tathmini yoyote iliyofanyika kuangalia tutangelipata nini kama mibadala mingine ingelitazamwa pia.

5) ..tutajaliza


IMG-20230705-WA0001.jpg
IMG-20230705-WA0002.jpg
 
UKOLONI UNARUDI TANZANIA?

Na Thadei Ole Mushi.

Miaka 60 ya Uhuru tumeshindwa kabisa kusimamia rasilimali zetu wenyewe.

Migodi tumeitoa kwa Wazungu, Misitu tumeitoa kwa Mwarabu, Posta tumeitoa kwa Mwarabu, Misitu tumeitoa kwa mwarabu, Gesi tumeitoa kwa Mzungu, Uwanja wa ndege wa KIA nao tumeutoa, TPDC tumeitoa, Bandari tumeitoa kwa mwarabu, Loliondo tumeitoa kwa Mwarabu, karibi maeneo yote Muhimu tumeshatoa…. Sisi tumebakia na nini?

Maswali ni Mengi mno….

1. Tulidai Uhuru wa Nini?

2. CCM imeshindwa kuiongoza Nchi? Maana kila eneo tuliloliwekeza tunasema kuna wapigaji hivyo bora tumpe mwekezaji. Je Serikali ni dhaifu imeshindwa kuzuia upigaji?

3. Vyuo Vikuu zaidi ya 31 nchini vimeshindwa kutengeneza wasomi wa kusimamia hizi rasilimali za taifa? Kazi za Graduate wetu kubwa ni kuendesha Bodaboda, kama taifa tunajua tunakoelekea?

4. Tanzania tunaweza jambo gani kubwa hapa nchini? Mambo yote ya muhimu tunaona ni Magumu tunawapa wawekezaji je sisi ni kitu gani tunaweza? Wenzetu wanawezaje sisi tunashindwa? Huu uvivu wa kufikiri tumeutoa wapi?

5. Baada ya Bandari tunaenda kuwekeza rasilimali gani tena? Ukiona wabunge wetu wanavyovaa Suti Pale Bungeni na taifa linapoelekea utatamani kulia. Hawa watu (wabunge) tunawalipa mishahara, tunawanunulia mafuta ya magari, watoto wao tunawasomesha na bado wanatuibia kupitia mikataba hivi nani alituloga tukawa waoga hivi?

6. Tanzania ya watu Milioni 69 plus tumeshindwa kuchaguana miongoni mwetu tupate watu wanaoweza kutuvusha hapa tulipo kwa kuwa taifa linaelekea kutawaliwa kwa mara ya Pili?

7. Wakati Uganda ilipogundua kuwa ni kweli Taifa lao lina mafuta walichukua vijana wao wakakimbiziwa ughaibuni kwenda kujifunza kuhusu Oil Production na asilimia kubwa ya mradi wao wa mafuta ni vijana wanausimamia. Sisi badala ya kuandaa vijana tunatuma kina Steve Nyerere na kina Kitenge kwenda kukagua Bandari za wenzetu hivi nani alituloga?

8. Vijana asilimia 90 sasa hivi hapa nchini bila kujali elimu zao kazi zao kubwa za kujipatia kipato ni Kubet au kuendesha Bodaboda. Huku maeneo muhimu ya rasilimali za taifa lao zikigawanywa kwa wazungu na waarabu kwa jina la kusema ni mwekezaji. Hii ni hatari sana kwa taifa letu…. Tanzania ina wanyamapori kila mahali ila anayekula nyama pori first class kabisa hapa Tanzania ni Mwarabu hii ni aibu…

9. Je tuliwahi kupata Uhuru? Lakini mbona Kina Singapore walipata Uhuru nyuma yetu? Mbona leo ipo mbali sana na wanajisimamia wenyewe?

10. Hata kuzalisha mafuta ya kula ya kutosha kwa taifa zima tumeshindwa tunaagiza nje ya nchi, Ngano tunaagiza, Mbolea tunaagiza, Maziwa ya Unga na hata ya kawaidia tunaagiza, pale Bandarini asilimia 95 ni bidhaa zinaingia nchini badala ya kutoka hivi tunaelekea wapi?

CCM ikubali sasa kutumia watu ambao wapo nje ya familia zenye Connection kwenye Uongozi wa nchi hii. Babu alikuwa kiongozi, mtoto akatafutiwa connection akawa kiongozi, mjukuu naye akawa kiongozi nk …. Hizi DNA kwa mazingira ya Sasa zimechoka au CCM ikubali kuwaachia wengine wajaribu kutusogeza tulipo.

Kuna siku nilisema kama Africa itaheshimu Sanduku la Kura katika kuchaguana tutafika mbali sana. Na kama askari polisi wa Mataifa ya Africa watatimiza wajibu wao kwa mujibu wa Sheria hili bara linapiga hatua kubwa. Askari anamlinda mtu mwenye V8, Mke ana gari, watoto wa huyo Mtu wanachukuliwa na School Bus wanakupita getini unawachekelea kama Zuzu, huku kwako ukiwa unafukuzana na Baba Mwenye nyumba anakudai kodi, kijana wako wa kwanza aliyehitimu Chuo kikuu anashinda vibanda umiza anabet, wanao wanasoma shule za makabwela kabisa huku akiwa hana uniform za kubadilisha lakini bado unaendelea kupiga Salute kwenye mageti ya viongozi.

Vijana kwa Rasilimali zilizopo hapa nchini hampaswi kukesha mkiwa mna Bet na kuendesha Boda boda. Wafanyakazi kwa rasilimali zilizopo Hampaswi kulipwa mishahara mnayolipwa. Hivyo basi watu kama kina Steve Nyerere na kina Maulid Kitenge ni wa kuwatenga kwenye jamii yetu…. Tunatakiwa tuanze kutokomeza hizi chawa kwanza kabla hatujawafikia Viongozi wetu.

Wakati ukoloni ukibisha Hodi Africa ulikuja kwa njia ya Mikataba. Ndiko tunakoelekea…..

Vijana tuliopo ndani ya CCM ni wakati wa kujitafuta sasa tuache kusifia ujinga wakati taifa limekwama. Tuzungumze, tukatae kabisa kuwa Chawa wa mtu, wakati ni sasa….. kila mtu kwenye familia yake atoe elimu ya Uraia.

Tumekwama kama Taifa….. share

Ole Mushi
0712702602
 
Never Drink Water During These Times No Matter How Thirsty You Are

(Opinion)


News Hub CreatorJul 4, 2023 11:08 AM



Our welfare depends on water, and being healthy requires drinking sufficient of it. Even though you may be really thirsty, there are several situations in which drinking water is not advised. When water is consumed improperly, it can cause a number of health issues, such as stomach discomfort, dehydration, and even kidney damage. We'll talk about when you shouldn't drink water in this article.


1. Just before or Following a Meal:

Water might weaken the stomach acids and digestive enzymes that break down your meal before or right after you eat. This may lead to poor digestion and nutrient absorption, which may cause gas, bloating, and bowel issues. Water should be avoided at least 30 minutes before and after meals, according to experts. This makes it easier for the body to consume and assimilate the nutrients.




2. When Doing High-intensity Exercises:

Water consumption during intense exercise might cause cramping, nausea, and exhaustion. This is because during vigorous exercise, your body sends blood flow to your muscles, and drinking too much water might cause your body's electrolyte balance to change. It's recommended to take small sips of water before and after exercises and to hold off on drinking more until your body has cooled down.





3. When Your Thirst Is Too Great:

Your body can easily absorb too much water in a short amount of time when you are severely dehydrated and exceedingly thirsty. Electrolyte abnormalities brought on by this may result in seizures and brain enlargement. It is preferable to drink water slowly rather than guzzle it down all at once if you are severely dehydrated.




4. In The Evening:

Drinking a lot of water in the evening can interfere with your sleep cycles and result in repeated bathroom visits, which can prevent you from getting enough sleep. Two hours before going to bed, it's recommended to minimise your water intake.



In conclusion, water is vital to our health and should be regularly drank. However, as was already said, drinking water at the improper times might result in a number of health-related issues. So it's important to be careful about when and how much water you drink. Remember that staying hydrated is important, but it's also crucial to consider any hazards associated with insufficient water consumption.
 
Back
Top Bottom