Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,173
- Thread starter
- #901
Jaji mkuu hahusiki na utungaji wa sheria yeyote isipokuwa kanuni zinazohusu mashauri ya mahakamani tu.Sheria kandamizi zinamhusu au?
This guy is insaneWhy now, oh you hypocrite..View attachment 1746796
Jaji mkuu hahusiki na utungaji wa sheria yeyote isipokuwa kanuni zinazohusu mashauri ya mahakamani tu.
Mahakama haiwezi kutengua sheria kandamizi bila sheria husika kupingwa mahakamani.
Sema kipindi cha Judge Ibrahim Judicial activism imepungua sana kwa majaji.