New administration gives hope after 5 years of hopelessness

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
206,831
2,000
True
IMG_20210408_074350_545.jpg
 

PTER

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
14,319
2,000
Sheria kandamizi zinamhusu au?
Jaji mkuu hahusiki na utungaji wa sheria yeyote isipokuwa kanuni zinazohusu mashauri ya mahakamani tu.

Mahakama haiwezi kutengua sheria kandamizi bila sheria husika kupingwa mahakamani.

Sema kipindi cha Judge Ibrahim Judicial activism imepungua sana kwa majaji.
 

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
206,831
2,000
Jaji mkuu hahusiki na utungaji wa sheria yeyote isipokuwa kanuni zinazohusu mashauri ya mahakamani tu.

Mahakama haiwezi kutengua sheria kandamizi bila sheria husika kupingwa mahakamani.

Sema kipindi cha Judge Ibrahim Judicial activism imepungua sana kwa majaji.

Sikukuelewa ila bado Jaji Mkuu is not that innocent nilidhani tunamwongelea AG. Tatizo lake kaingizwa kingi kawa mwanasiasa na analeta mkanganyiko wa mwingiliano wa mahakama na utendaji serikalini jambo ambalo ni tishio kwenye utoaji wa haki.

Maapisho yote aliyohudhuria hayamhusu ukiondoa kiapo cha Rais. Na baadhi ya viapo vina utata wa uhalali wa kisheria kama ule wa Bashiru lakini kuwepo kwake kunaupa mandhari ya uhalali pasipo sababu.

Mrundikano wa kesi uko palepale na yeye yuko na wanasiasa kila wakati.

Hata tekihama aliyoahidi haifanyi kazi ipasavyo hata kozi list ya mahakama ya rufaa na High Court utazitafuta kwa Nokia torch kwenye tovuti yao ambayo mpangilio wake mzima siyo rafiki kwa watumiaji.

Labda list ya wanasheria halali ndiyo iko vizuri kwenye website yao na utaipata bila shida. Pia maamuzi yao yote hurushwa, na kurahisisha utekelezaji wake na kupanua uwigo wa ufahamu wa sheria, kwenye mtandao kwa mwendo kasi hayo ni baadhi ya mafanikio yake.

Generally speaking, he is not effective particularly when you see judicial services are extremely poor but he still finds time to cavort with good for nothing politicians.

Kesi mahakama ya rufaa kuanzia ilipofunguliwa hadi kusikilizwa inachukua miaka 3-5 hadi leo wakati zinapaswa zisikilizwe ndani ya miezi 6 tu tangia zimefunguliwa.

Wamejitahidi kuboresha kanuni lakini kama mashauri hayasikilizwi kwa wakati maboresho hayo yana maana gani?

On these grounds among others he must be included in that list of shame
 

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
206,831
2,000
The reasons we expunged Nyerere and Karume from notes still valid. Those reasons include a refusal to create an aura of the cult of personality, deity and image worshipping.

The legacy of anybody is not assessed soon after his demise when misplaced emotions flip the reality. This is why countries like the US legislated until 20 years have elapsed since death nobody can be considered to have his face in the money. The reason is such considerations have to be encompassing, sober and realistic. That those decisions must withstand the test of time. And sadly both Nyerere and Karume failed this litmus test and were demoted to coins where they are hibernating before their faces are totally eradicated from the coins by future generations following their bios is put in its rightful place in our history.

The reasons offered really apply to all past presidents. If it is history, mementos in a form of notes never tell any story and one has to read books to fully understand what the individual had achieved.

If it is "mambo makubwa aliyoyafanya" we need to judge independence seekers like Nyerere did he surpass all of them in feats?

Is there anything too important than gaining independence? If uhuru no longer mean much then the first step will be to scrap independence day


The second replace Nyerere as Baba wa Taifa with your shujaa wa Africa whom you never sought permission from even the AU before your rewarded him with this titular.

What we know history is gonna be very unkind to him because of practicing lawlessness, anarchy and intense animosity against democracy and the rule of law.

Maybe before we make a fool out of ourselves with putting his face on our notes we need to ask ourselves these important questions raised beforehand.

We need to know if really "alitufanyia mambo makubwa" why Azory Gwanda and Ben Saanane are nowhere to be seen?

What was he afraid of? Please agitators need to furnish us with convincing answers before they drag us to another vanity. But most politicians are in love with vanities so nothing surprise us anymore...

But we project even if emotions of his beneficiaries prevail their folly will not stand the test of time...

Even JKNIA will later be renamed Mzizima International Airport after future generations have considered fully the Nyerere contribution

IMG_20210408_195030_523.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom