Never Knew...

it has a question mark... was that question meant for u? :confused2:

Good morning my darling...........! I love you Smiles, ....everything....... your smile .........your avatar........your....:hippie::hippie::hippie:.
 
naona MA-LOVEE ndani ya nyumba kama kawa

mwanajamiione ulikunywa konyagi au GONGO?mbona stim zake zinakubeba muda mrefu?
 
Twakuombaaaaaaaaaaa Ebwana pokea maombi yeeeeeeeetuuuuuu!!:hippie::hippie::hippie:
 
Good morning my darling...........! I love you Smiles, ....everything....... your smile .........your avatar........your....:hippie::hippie::hippie:.

sshhh..... utaamsha watoto! :hippie:
 
Twakuombaaaaaaaaaaa Ebwana pokea maombi yeeeeeeeetuuuuuu!!:hippie::hippie::hippie:
tunaomba umjalie mwanajamiione kwa hilo pendo amepata apate mapendo mengine matatu zaidi ili tuone itakavyokuwa...eeee bwaaanaaaa..
 
Matoto ya siku hizi (Kama Roya na The Finest) huwa yanalala basi?:nono::nono::nono:

bora finest kwa sababu mama b anambana...Kidogo inasaidia! Ila huyu saint...Nafikiri kuna mtu inabidi tumuwajibishe kwa kutofanya kazi ipasavyo! Kama sikosei ni mjukuu wako....:tape2:
 
Twakuombaaaa Ebwana pokea maombi yeeeeeeetuuuuuu!!
Tunakuomba umjaalie mwanajamiione na umuongezee infidelators wengine SITA ili kuwe na uwiano,yane pale ANALIVUA PENDO KWA HUYU,ANAMVALISHA YULE PALE IMMEDIATELY,analivua kwa yule pale anamvalisha yuuleee wa kule mwisho yule braza mwenye black....

EEE BWAAANAAAAAAAAAA..........
 
bora finest kwa sababu mama b anambana...Kidogo inasaidia! Ila huyu saint...Nafikiri kuna mtu inabidi tumuwajibishe kwa kutofanya kazi ipasavyo! Kama sikosei ni mjukuu wako....:tape2:

Sasa hapo umeingia wizara ya mambo ya ndani kwa tatizo la kibiashara.:A S angry::A S angry::A S angry:
 
Tunakuomba umjaalie mwanajamiione na umuongezee infidelators wengine SITA ili kuwe na uwiano,yane pale ANALIVUA PENDO KWA HUYU,ANAMVALISHA YULE PALE IMMEDIATELY,analivua kwa yule pale anamvalisha yuuleee wa kule mwisho yule braza mwenye black....

EEE BWAAANAAAAAAAAAA..........

Isipokuwa Roya Peke yakeeeeeeee, kwa sababu ni beberu, bepari na kabailaaaaaaaa.....

Twakuomba Ebwana pokea Maombi yeeeeeeetuuuuuuuuuuu!
 
EE BWANA MUNGU WA MAJESHI,MUNGU BABA MUWEZA WA YOTE.......
tunasema asante kwa kumjaalia infidelators sita wa ziada huyu mama yetu mwanajamiione....
tunasema asante kwa kumpa uhuru wa kujidai wa kulivua pendo huku na kulivisha kule kwa uwezekano wa options sita na zaidi...........
tunasema ahsante baba kwa asubuhi hii njema kabosa baba,asubuhi nzuri yenye kajibaridi kazuri kabisa baba,kwakuwa hii ni nafasi nzuri ya mwanajamiione kuendelea ''kulivaa'' pendo huko gesti hausi kokote aliko baba.....

utujaalie asubuhi kama hii kama mwanzo sasa na siku zote EE BABAAAAAAAAAAAA
 
This from too much ...:A S-smoking::A S-smoking:...but the st. says eimen....
 
Matoto ya siku hizi (Kama Roya na The Finest) huwa yanalala basi?:nono::nono::nono:

Orait Orait babu sasa hivi sipati shida sana nitakuwa namwambia bibi yangu mama matesha habari zote sijui labda unifunge mdomo
 
Isipokuwa Roya Peke yakeeeeeeee, kwa sababu ni beberu, bepari na kabailaaaaaaaa.....

Twakuomba Ebwana pokea Maombi yeeeeeeetuuuuuuuuuuu!

Ee Bwana twakuomba umjalie MJ1 afya ya mwili na roho na kwa maombezi matukufu kwa ajili ya BABA GIFT na SMILES ili ASPRIN aopolewe na mashaka ya sasa ROYA ROY apate furaha ya milele sijui bado anaumwa. TWAKUOMBA UTUSIKIE
 
Isipokuwa Roya Peke yakeeeeeeee, kwa sababu ni beberu, bepari na kabailaaaaaaaa.....

Twakuomba Ebwana pokea Maombi yeeeeeeetuuuuuuuuuuu!

Hahahaaaaaa....
Eti kiongozi....nasikia siku hizi umekuwa libeberu likubwa....
Eee mkuu wa majeshi tengua viuno vya mabeberu wote (anza na Asprin)....digidigi wote wa:rip:, naona kelele zinazidi hadi tunashindwa kulala kwa raha....eimen!
 
Najua nimechelewa hii Sala....ila Nasema kwa yote hayo mliosema Baba Naomba utusikie Amen..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom