NETWORKING ADMINISTRATOR bila CISCO networking!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NETWORKING ADMINISTRATOR bila CISCO networking!!!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by MtuMmoja, Oct 9, 2011.

 1. MtuMmoja

  MtuMmoja Member

  #1
  Oct 9, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Wanajukwaa ni computer science ninayependa hapo baadaye kuja kuwa network administrator,lakini naskia huwezi kupata ajira ya kueleweka hasa katika networking kama utategemea DEGREE kama degree, Wanasema ukipiga CISCO au kozi nyingine ya networking nje ya degree inakuwa rahisi kupata ajira nzuri!!
  Naombeni mwangaza kuhusu hili hasa kwa ma networking administrator mliopo makazini!!
   
 2. ropam

  ropam Senior Member

  #2
  Oct 9, 2011
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sure thing mkuu...uliyoyasikia ni sahihi 100%, kwasababu vyuo vyetu vya kibongo unamaliza degree yako hata router au switch yenyewe hujawahi kuiona...una degree yako lakini unaogopa hata kuoamba kazi b'se ni aibu! ndo maana inaaminika mtu akiwa na CISCO certification at least anajielewa kwa sababu mtihani wa CISCO certification unahusisha simulations ambazo ukifaulu basi hata ukikabidhiwa network yenye router 3 unaweza kui-manage....Comp science certification hizi ndo zinakupa kazi, hasa katika field za server management, security management na network management!
   
 3. MtuMmoja

  MtuMmoja Member

  #3
  Oct 9, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Pamoja sana!!
   
 4. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Ni kweli kabisa mkuu..ukitaka kuthibitisha hilo angalia matangazo mengi ya kazi ya Network Admin... mengi wanamalizia kwa kusema ukiwa na CISCO certification ni vizuri zaidi....tena sasa hivi wanaenda mbali zaidi hawataki mtu mwenye CCNA tena bali wanataka mtu mwenye CCNP.
   
 5. Bosco Ntaganda

  Bosco Ntaganda JF-Expert Member

  #5
  Nov 11, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 551
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Kazeni buti vijana msiogope! Hizo certifications ni rahisi sana kuzipata siku hizi, hasa ukiwa na bidii na moyo wa kujituma
   
 6. Aqua

  Aqua JF-Expert Member

  #6
  Nov 12, 2012
  Joined: Jul 23, 2012
  Messages: 1,299
  Likes Received: 418
  Trophy Points: 180
  Kwa dunia ya sasa IT imeingiliwa na kitu kinachoitwa "certification" kwa IT unayetaka kubaki sokoni huwezi epuka inakubidi uzitafute hizo certification.Pamoja na kuwa na degree or diploma ukitaka kupata kazi faster inabidi upate certification zilizopo sokoni au elimu ya product fulani mafano Cisco,Cyberoam,juniper,CISA,CISSP hata mambo ya database Oracle na zingine kibao.Kama unataka kazi zikupite usitafute hizi certification,unaweza hisi Mungu hayuko nawe kumbe wewe mwenyewe umeshindwa kuzisoma alama za nyakati.Tatizo ya hizi certification unajifunza baadhi ya concept generaly ila unasoma kwa undani kuhusu product fulani,ukienda kampuni nyingine wenye product tofauti na hiyo unaanza upya ingawa basic concept inabaki kuwa hiyo hiyo.Ni muhimu kuwa nazo,zinasaidia.
   
 7. i

  iMind JF-Expert Member

  #7
  Nov 13, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 1,908
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Ajira za vyeti zimebakii kwenye serikali na taasisi zake. Kwenye private sector uwezo wako ndo utakufanya upate ajira.

  Kuna watu wengi ambao wamesoma cisco na bado sio ma network administrator at all.

  Network Admin wangu ana degree ya mechanical eng na hana certification yoyote lakini ana design networks na ku configure ma device utafikiri yeye ndo kayatengeneza na ameajiliwa kama Network engineer.

  Cha msingi ni interest na kujisomea. Understanding ya concepts ndo muhimu.

  Nawashauri waajiri hasa wanapotaka kuajiri IT tech people wasiangalie vyeti.
   
 8. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #8
  Nov 13, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  kiukweli kwasasa sio rahis kuwa network admin bila kuwa na CCNA na CCNP kwa sababu asilimia kubwa ya makampuni yanatumia network hivyo kama huwezi kufanya configuration ya temino kidogo inakuwa tatzo so kasome kwanza CISCO ndio uombe kaz
   
 9. S

  Sine r Winters Senior Member

  #9
  Nov 13, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 116
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  bro inapatikana vp hzo mambo.
   
 10. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #10
  Nov 14, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,568
  Likes Received: 1,934
  Trophy Points: 280
  Ni chuo kipi bora hapa bongo?
   
 11. j

  junior05 Senior Member

  #11
  Nov 14, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mkuu vyuo ni vingi ila tatizo vingi either hamna device au zipo ila chache so bora upige self studies na simulations
   
 12. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #12
  Nov 14, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,568
  Likes Received: 1,934
  Trophy Points: 280
  Mkuu hapo umenitia moyo. Nilikuwa na mpango kama huo nikasita kuwa huenda isitambulike.
   
 13. MtuMmoja

  MtuMmoja Member

  #13
  Nov 14, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  okey thanks kwa mawazo yenu! ngoja tujichange tuangalie tunachomokaje! pamoja sana wakuu!!
   
 14. S

  Sumu JF-Expert Member

  #14
  Nov 20, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 6,233
  Likes Received: 3,221
  Trophy Points: 280
  Ndo ninaisoma sasa hivi (CCNA) kwenye chuo kimoja hapa Dar mkuu kama utakuja kuamua kuisoma utaniCheck nikupe maujanja ya hapa na pale. Nina mwezi na nusu tokea nianze kuisoma ila kwa sasa huwezi kunidanganya kuhusu vitu vidogovidogo vya kuhusu Networking. Ngumu kimtindo inabidi ukomae, nimepewa original books from Cisco ukiviona ni lazima uchoke vilivyo vikubwa na mambo kedekede sijui paper itakuwaje.
   
 15. Root

  Root JF-Expert Member

  #15
  Nov 20, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,304
  Likes Received: 13,012
  Trophy Points: 280
  Sumu qualification za kusoma cisco?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. S

  Sumu JF-Expert Member

  #16
  Nov 20, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 6,233
  Likes Received: 3,221
  Trophy Points: 280
  Mtu yeyote mwenye INTEREST na networking anaweza kusoma. Hakuna qualification za kitaaluma (Academic) ila unashauriwa uwe na angalau idea na computer na networking kwa ujumla. Ni kama kwenye mchezo wa basketball, mtu mfupi anaruhusiwa kucheza na mrefu kadhalika ila mrefu anakuwa na advantage ya urefu wake.
   
Loading...