sensa
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 397
- 22
Wadau naona tatizo la ajira linaendelea kuwa kubwa siku hadi siku, najiuliza hizi biashara za network marketing haziwezi kupunguza tatizo la ajira kwani zina offer unlimited opportunities kwa nafasi na kipato pia.Tena ukizingatia haihitaji kuwa na mtaji bali ni kuelewa tu jinsi mfumo unavyofanya kazi na ukaweza kijipatia kipato kizuri tu ukafurahia maisha.
Naomba maoni yenu wadau.
Naomba maoni yenu wadau.