Network marketing in Tanzania

2c2

Member
Nov 5, 2009
98
5
salam jf
Wakuu ebu tusaidiane katika hili, network marketing inafanyaje kazi kwa tanzania, tofauti na bidhaa za alovera, kuna bidhaa za ndani ambazo zinatumia mfumo huu wa biashara na kama hazipo kuna uwezekano wa kuwa nazo?
 
Hujaeleweka kwangu, labda kwa wengine!
 
Hujaeleweka kwangu, labda kwa wengine!
mkuu ni kama hawa watu wa alovera wanavyofanya biz yao duniani

The products and company are usually marketed directly to consumers and potential business partners by means of relationship referrals and word of mouth marketing.[13]
 
kuna wanawake wanouza sabuni za bongo kwa mikopo, they get the products on credit and sell it, its a good example of that
 
mkuu ni kama hawa watu wa alovera wanavyofanya biz yao duniani

the products and company are usually marketed directly to consumers and potential business partners by means of relationship referrals and word of mouth marketing.[13]

mmh mmh mbado
 
Hiyo ndiyo changamoto kubwa kwa TZ na Africa kwa ujumla. Soma kitabu changu "Biashara ya Mtandao - Biashara mwafaka kwa waafrika" pia tembelea www.networkmarketingtanzania.com Kinadharia, vitu vingi vinawezwa kuuzwa kwa mtindo huu wa mtandao. Uelewa ni mdogo sana kwa wanajamii na kwa wafanyabiashara wakubwa.

Utandawazi na maendeleo ya ICT yatasaidia kuenea kwa kasi kwa huu mfumo wa biashara.

Benson - Dar

salam jf
Wakuu ebu tusaidiane katika hili, network marketing inafanyaje kazi kwa tanzania, tofauti na bidhaa za alovera, kuna bidhaa za ndani ambazo zinatumia mfumo huu wa biashara na kama hazipo kuna uwezekano wa kuwa nazo?
 
salam jf
Wakuu ebu tusaidiane katika hili, network marketing inafanyaje kazi kwa tanzania, tofauti na bidhaa za alovera, kuna bidhaa za ndani ambazo zinatumia mfumo huu wa biashara na kama hazipo kuna uwezekano wa kuwa nazo?

Salaam 2c2,
Wazo hili ni bomba sana,
Kwa biashara yeyote ukiifanya kwa mfumo huo lazima ilipe sana, nadhani inatupasa now kufikiria ku-deploy hii mifumo kwetu pia isaidie biashara zetu
 
Join global Wazzub website based in Las Vegas for free and get the following all in your wall (in addition to being a Founding Member who will deserve to get paid monthly for life provided that you will invite at least 3 persons to join this website through your link before 10[SUP]th[/SUP] April 2012):
1. A very powerful Search Engine
2. A Personalized news section
3. Personalized deals, games & videos
4. Messages from friends, partners & family
5. All your Favorite Web Links.
6. Free Deal points which are as good as money
Click here to join this new website of the year 2012 which registers a new member worldwide after every 1 second due to this new Profit Sharing Phenomenon WAZZUB - The Power of "We"!
 
Back
Top Bottom