Netherland Wautambua Mchango wa MwanaHalisi

Kubwajinga

JF-Expert Member
Jan 23, 2008
2,194
297
Hongera mwanahalisi kwa kazi nsuri inayopaswa kuigwa na RA Media empire, na Uhuru na Daily News.

110690.jpg

Dutch Ambassador to Tanzania Karel van Kesteren (seated R) goes through a copy of MwanaHALISI at the offices of HaliHALISI Publishers Limited in Dar es Salaam yesterday. With him are Saed Kubenea (C) and the weekly`s Editor, Jabir Idrisa.
 
Sasa hapa wametambuwaje ? Kwa jamaa kupiga picha na hili gazeti ? ama una maelezo mengine ya kuongezea ?
 
kweli kubwajinga.Kupiga picha tu.Unanikumbusha kisa cha Richmond na mzungu pamoja na biznes kadi yake.Alafu akitambuliwa na hao wazungu then wat?Africans have a long way to go!Duu!
 
Jamani wana JF kama kuna mtu anafahamu mtandao wa MwanaHalisi Newspaper naomba unisaidie. Unaweza kunitumia PM.
Natanguliza shukrani.
 
kweli kubwajinga.Kupiga picha tu.Unanikumbusha kisa cha Richmond na mzungu pamoja na biznes kadi yake.Alafu akitambuliwa na hao wazungu then wat?Africans have a long way to go!Duu!

Sasa hapa wametambuwaje ? Kwa jamaa kupiga picha na hili gazeti ? ama una maelezo mengine ya kuongezea ?

It is what it is, yaaani hiii ndio tunaita kumkoma nyani giladi, tena mchana kweupeeeee! Duh wallahi I love JF, sasa ngoja nitafute pop-corn, kusubiria majibu!
 
Back
Top Bottom