Netflix US Catalog

hekimatele

JF-Expert Member
May 31, 2011
9,884
2,781
Wadau,

Netflix huwa wanatoa different contents according to location. Walioko USA hawawezi pata same contents kama aliyepo Tanzania. Kuna show ziko restricted according to location.

Nikitumia VPN naweza pata contents zote za USA kama niko Tanzania huku Mbagala Rangi Saba?

Wajuzi wa mambo mje mtoe msaada.

CHIEF MKWAWA pita hapa

Da vinci
 
Hilo co swali ni jibu... tumia vpn location weka us
 
Ndio unapata, ukitumia vpn za kulipia, kuna nchi hizi streaming application azipo kabisa so wanatumia vpn kuzipata na kutumia hila ndio bpn za kulipia sio za free
 
Back
Top Bottom