Netflix kupatikana bila malipo nchini Kenya

Chaos Master

JF-Expert Member
Jul 7, 2021
636
1,304
Netflix imetangaza mpango wake wa kutoa huduma za kutazama filamu na series bure nchini Kenya 'Free Mobile Plan' katika harakati za kukamata soko la watumiaji wa internet zaidi ya milioni 20 inchini Kenya.
-
So Far walichotufahamisha ni kuwa, Huduma hii itakuwa kwa wenye umri juu ya miaka 18, Huu ni mpango wa Netflix wa kuongeza wateja Afrika Mashariki, Ukiwa Kenya utaweza kutazama filamu na series ktk Netflix bure ukiwa na smartphone yenye Android operating system bila kulipia ada ya usajili, hapata kuwa na matangazo.
-
Tambua Netflix inapatikana ktk nchi 190 duniani na inawateja wanaolipia huduma hii zaidi ya milioni 209.
 
Back
Top Bottom