Netanyahu To Miss Mandela Memorial For Cost Reasons

Imanyara

JF-Expert Member
Nov 7, 2013
239
95
Prime Minister Binyamin Netanyahu announced on Sunday that he will not travel to South Africa for the memorial of freedom fighter Nelson Mandela on Tuesday.

A source at the Prime Minister's office said the trip is too expensive and that there were "logistical concerns" preventing the prime minister from attending.

The short-notice trip, combined with complex security arrangements due to the many participants expected at the memorial, have upped the costs of the trip, Israeli media reported.

A preliminary assessment showed such a trip would cost some NIS 7 million.

It is still unclear which Israeli representative will attend the ceremony in their stead.

Netanyahu will not attend Mandela memorial | JPost | Israel News

NIMEIPENDA HII....
 
Aisee hii habari itakuwa deal sana. Anyway tujuzwe mchango wao kwa apartheid regime those days.
 
Wamagharibi wanajitoa kimasomaso , ila hawa naona bado wanaona haya kwenda !! Weshasamehewa ila hawajiamini kama wanakun***ya kwenye choo cha magogo.
Watakuja watoa povu hapa.....wacha tuvute mda
 
Rais wa Israel Shimon Peres amehudhuria, so hakuna kilichoharibika!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Kati ya Waziri Mkuu na Rais wa Israel nani mwenye nguvu kiserikali? Kama sikosei ni kama German ambako Chancellor hajaenda South Africa, lakini Rais wa Ujeruman naona yupo.
 
wadau nimejaribu kupitia majina ya nchi zilizotuma viongozi wao kwa ajili ya mazishi ya mzee wetu kipenzi Mandela. Ila nimeshangazwa na kukosekana hata muwakilishi japo mkuu wa jimbo kwa taifa lenye ushawishi mkubwa kwa nchi za magharibi na marekani yaani Israel. Hivi mnaweza angalau kunitoa huu upofu nilionao?
 
Rais Simon Perez na Netanyau wametangazwa kati ya viongozi waliohudhuria ingawa sikuwaona pia. Jumuiya ya Waarabu naona ni Tunisia tu ndiyo nimewasikia.
 
Rais Simon Perez na Netanyau wametangazwa kati ya viongozi waliohudhuria ingawa sikuwaona pia. Jumuiya ya Waarabu naona ni Tunisia tu ndiyo nimewasikia.
netanyau wala peres hawakuhudhuria bali speaker wa bunge na acting presdent somebody Yuli.
 
Pamoja na kwamba kikoloni hakipandi sana ila nilisikia raisi na waziri mkuu wa israel wakitangazwa kwenye viongozi waliohudhuria
 
Back
Top Bottom