Netanyahu: Jerusalem umekuwa mji mkuu wa Israel kwa miaka 3000

Jamaa muongo sana huyu! Taifa lilikuwa created 1947 sasa huo mji mkuu ulikuwepo vipi kwa miaka 3,000!?

Nov. 29, 1947 | U.N. Partitions Palestine, Allowing for Creation of Israel
Taifa la Israel halikuanzishwa mwaka 1948, Bali mwaka huo waisrael walirudishwa kwenye ardhi ya taifa lao ambako walikuweko kwanza kama taifa, kisha wakashambuliwa na kuchukuliwa mateka na kusambazwa kote duniani! Kwa hiyo kilichofanyika mwaka 1948 ni kulikusanya taifa upya na siyo kulianzisha upya. Huo ni ukweli wa kihistoria na kibiblia!
 
Acha ujinga wewe! Sasa kama bila hii basi hadi hii leo wangekuwa wanatangatanga duniani bila kuwa na nchi au wangemwaga Uganda. Unataka kuukimbia ukweli!? Nchi za kiarabu ni vile tu hazina umoja kwanini wasingewapa nchi hawa Europe au North America!?

Achana na historia hiyo wewe,
 
Na Uganda walikotaka kupelekwa nalo lilikuwa ni Taifa lao?

Taifa la Israel halikuanzishwa mwaka 1948, Bali mwaka huo waisrael walirudishwa kwenye ardhi ya taifa lao ambako walikuweko kwanza kama taifa, kisha wakashambuliwa na kuchukuliwa mateka na kusambazwa kote duniani! Kwa hiyo kilichofanyika mwaka 1948 ni kulikusanya taifa upya na siyo kulianzisha upya. Huo ni ukweli wa kihistoria na kibiblia!
 
Lijamaa linawachota akili jamaa zetu kwa kutaja eti kitabu kizuri bibilia,
sasa kama ni mji mkuu,hao wapalestina watawahamisha au ndo inakuaje
 
Israel wana dini tatu.....uyahudi, ukristo, na uislamu.....dini ya uyahudi ambayo Netanyahu ni muumini wake hawaitambui biblia wana kitabu chao kitakatifu wanachokiamini kinaitwa TANAKA, wana Mungu wao anaitwa EL SHADAI na nabii wao anaitwa YAHUDHA.....Kutokana na jina la nabii wao yahudha ndio wakajiita wayahudi, yaani wafuasi wa yahudha....Yesu hawamtambui na kwenye kitabu chao hayupo!
Waisrael dini yao ya asili ni uyahudi, din ya yesu na kitabu chao ni torati, yesu kristo myahudi wafuasi wake wanaitwa wakristo na kitabu chao ni biblia yenye vitabu vya torati na injili. Vitabu vimejaa
Historia tangu uuambaji wa dunia na vizaz vyake maisha ya waisrael tangu ibrahim, isaka,yakobo(israel) musa, mfalme daud hadi nyakat za yesu kristo. Ndani yake kuna sheria na maagano mbalimbal ya mungu na israel.
Asili ya jina wayahudi linatokana na yuda Mtoto wa yakobo kati yawatoto 12 ambazo ndio kabika 12 za wana waisrael
Kabila pekee lilokuwa limesalia.
 
Historia ya Israel imeandikwa kwenye Biblia! Waarabu wanafikiri historia imeanzia 1947!
Wanajifanya tuu hawajui lakini wanajua kila kitu,ni tamaa imewajaa ya kungangania hata kitu kisicho chao.

Zaidi ya miaka 1000 iliyopita,mwaka 985 CE(Baada ya YESU) mwandishi mashuhuri wa kiarabu Muhamad ibn Ahmad Shams al Din al -Muqaddasi aliandika akilalamika kua Waisrael ni wengi (Majority )katika idadi ya watu walioko Yerusalem.

Mwaka 1864 (Moden Time) takwimu zilizochukuliwa na British Consul Jerusalem chini ya Noel Temple Moore zinaonyesha bado wayahudi walikua ndio wengi kuliko dini au race nyingine,Wayahudi wakiwa 8000,Waislam 4500,na Wakristo 2500.

Hivyo Waislam wanajitia upofu wenyewe na wanataka dunia nzima ijitie upofu kwa maslahi yao ya kishetani.
 
Waisrael dini yao ya asili ni uyahudi, din ya yesu na kitabu chao ni torati, yesu kristo myahudi wafuasi wake wanaitwa wakristo na kitabu chao ni biblia yenye vitabu vya torati na injili. Vitabu vimejaa
Historia tangu uuambaji wa dunia na vizaz vyake maisha ya waisrael tangu ibrahim, isaka,yakobo(israel) musa, mfalme daud hadi nyakat za yesu kristo. Ndani yake kuna sheria na maagano mbalimbal ya mungu na israel.
Asili ya jina wayahudi linatokana na yuda Mtoto wa yakobo kati yawatoto 12 ambazo ndio kabika 12 za wana waisrael
Kabila pekee lilokuwa limesalia.
TRUMP wakati anautambua mji wa Jerusalem juzi alisema hivi nanukuu...ISRAEL PEOPLE HAVE BUILT A COUNTRY WHERE PEOLPLE OF THREE RELIGION JEWS, CHRISTIAN AND MUSLIM ARE FREE TO LIVE AND WORSHIP.........hapo anamaanisha Israel kuna dini tatu Uyahudi, Ukristo na Uislam........muwe mnasoma hata kidogo jamani Uyahudi ni dini haihusiani na ukristo!
 
Wengi hawajui kuwa hii dini ya kiyahudi actually imeanza rasmi baada ya wayahudi kurejea toka babeli,

yaabi walipoenda huko na kukuta watu wa huko wanaabudu mungu mmoja nao wakaja na hayo maandiko tuyaonayo leo,
kabla ya hapo walikuwa na miungu wengi,
anza kusoma kitabu cha Ezra kama sikosei wameandika wazi maandiko ya mwanzo waliandika baada ya kurudi toka babylon
 
Hicho kitabu cha dini ya Judaism kina husisha, historia nzima ya uumbaji na kuzaliwa kwa taifa la Israel kupitia Yakobo. Na kumbukumbu ya kila tukio lililotokea kwenye taifa teule limerekodiwa hapo. Kuna torati, zaburi na vyuo vya manabii. Mji mkuu wa Israel unatajwa kama Jerusalem.
 
Haiko hivyo hata kidogo, Israel ndio taifa pekee lililoanza kumuabudu Mungu mmoja yaani YAHWEH. Ambaye ana sifa lukuki; wanamtambua kama Elohim, Elishaddai, Yehovah ( Yehovah Adonai, Yehovah Nisi, Yehovah Shalom, Yehovah Rafa, Yehovah Yire nk. ) Uhamisho wa Babel ni baadae sana. Jerusalem ilishajengwa na ukuta wake ulikabatiwa baada ya kurejea kutoka Babeli kutokana na vita vilivyokuwa vikipiganwa.
 
Back
Top Bottom