Buchanan
JF-Expert Member
- May 19, 2009
- 13,199
- 1,969
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema kuwa Mji Mtakatifu wa Jerusalem, ambao ni Mji wa Wayahudi, hautagawanywa ili Wapalestina waufanye kuwa mji wao Mkuu kwa upande wa mashariki ambao ni mji mkongwe!
Source: BBC/Al Jazeera.
My take: Wapalestina waufanye Ramallah au Gaza kuwa mji wao mkuu, yaishe. Then kulingana na Oslo Accords, kama nakumbuka vizuri, Jerusalemu uwe mji wa kimataifa au uwe chini ya Waisraeli! Otherwise, amani itakuwa ndoto!