EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,713
- 35,525
Ndy maana walimuua walipoona anataka kufanya reconciliation na Palestine
Ndy maana walimuua walipoona anataka kufanya reconciliation na Palestine
Tena aliuwawa na kijana mdogo kabisa mwenye miaka 16
Are you sure the westerners are fed up with Israel ??
Netnyahu ni mbaguzi sijapata kuona katika historia ya siasa za Israel. Adiyo maana alishibana sana na mbaguzi mwenzie Trump. Ukipitia list ya mawaziri wakuu wa israel wote, kuanzia na Ben Gurion, hadi Shimon Perez, wote walikuwa wanataka kujenga amani na Palestina ili waishi kwa pamoja, lakini Netanyahau yeye hakutambua kabisa uwepo wa Palestina, yaania alikua na mtazamo kuwa wapalestina siyo watu.Huna akili!
Trump yule alikuwa kiongozi mzungu lakini mwenye mawazo ya KI MEKO MEKO!!na USA, wasingekuwa na strong institutions ingekula kwao!!kwanza lisingetoka madarakani ki urahisi rahisi tu.hata meko, kwenye watu wenye akili zao angekuwa ana fanya michezo ya KIFUTUHI kiasi kile?Ni kweli kuwa mifumo ya wenzetu ni imara lakini, Mkuu wa nchi anapobadilika, hata uelekeo kwa kiasi kikubwa nao hubadilika, hii iko hata kwa nchi zilizoendelea kimifumo. Mfano sera za Trump ni tofauti kabisa na za Biden. Mfano Trump hakua na time kuhusu Demokrasia duniani, lakini mtangulizi wake ilikuwa ni sehemu ya uongozi wake.
Huu mtazamo wako naona wengi wanao na sio sahihi. Kuwa Trump alikuwa ni mzungu ila mwenye mawazo ya kiafrika as if waafrika ndio wenye sifa ya udikteta. Wapo waafrika wengi tu ni wanademokrasia. Kimsingi Trump alikuwa ni dikteta. Sio kusema eti alikuwa mzungu mwenye mawazo ya kimeko.Trump yule alikuwa kiongozi mzungu lakini mwenye mawazo ya KI MEKO MEKO!!na USA, wasingekuwa na strong institutions ingekula kwao!!kwanza lisingetoka madarakani ki urahisi rahisi tu.hata meko, kwenye watu wenye akili zao angekuwa ana fanya michezo ya KIFUTUHI kiasi kile?
Bibi ni Ultra-zionist. Na amepitisha sheria mbaya sana dhidi ya waarabu nchini mwake.Netnyahu ni mbaguzi sijapata kuona katika historia ya siasa za Israel. Adiyo maana alishibana sana na mbaguzi mwenzie Trump. Ukipitia list ya mawaziri wakuu wa israel wote, kuanzia na Ben Gurion, hadi Shimon Perez, wote walikuwa wanataka kujenga amani na Palestina ili waishi kwa pamoja, lakini Netanyahau yeye hakutambua kabisa uwepo wa Palestina, yaania alikua na mtazamo kuwa wapalestina siyo watu.
Hapana. 20 years later bado unataka tu 9/11 bado iwe topic? Kimsingi 9/11 imenufaisha Israel pakubwa mno, Marekani kuiattack M.E. Pia US hawezi ichoka Israel sababu ndiye watchdog wake kwenye ukanda huo.Yes they do, only they are scared to jeorpadise their lives as their (israel) intelligence is very tactical, their underground machineries eg the MOSAD work efficaciously you can not temper with them and be safe. MOSAD is every where, the world to them is on their hand...
Labda pia badiriko ni namna ya kuzitekeleza.Uzuri wao, mtu ana badirika lakini sera zao za mashariki ya kati ziko vile vile tu!!
Kwa mtazamo wangu anayemwangusha mwenye akili nyingi, ndio anakuwa mwenye akili nyingi zaidi.Tunaomba kumfahamu vizuri huyu Naftali ni nani hasa mpaka kumwangusha mtu mwenye akili nyingi kuliko wote dunia ya sasa
Benjamin NetanyahuNani huyo mwenye akili nyingi kuliko wote duniani?
So what was the motive for the Jews to attacks their own building?Yes they do, only they are scared to jeorpadise their lives as their (israel) intelligence is very tactical, their underground machineries eg the MOSAD work efficaciously you can not temper with them and be safe. MOSAD is every where, the world to them is on their hand...
Sasa huyu kichaa mpya ndio balaa bora ya BenjaminNetnyahu ni mbaguzi sijapata kuona katika historia ya siasa za Israel. Adiyo maana alishibana sana na mbaguzi mwenzie Trump. Ukipitia list ya mawaziri wakuu wa israel wote, kuanzia na Ben Gurion, hadi Shimon Perez, wote walikuwa wanataka kujenga amani na Palestina ili waishi kwa pamoja, lakini Netanyahau yeye hakutambua kabisa uwepo wa Palestina, yaania alikua na mtazamo kuwa wapalestina siyo watu.