Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Hatimaye Serikali ya Israeli imekubali kile ambacho kimekuwa kikisemwa siku zote kwamba imewadunga kwa makusudi kabisa dawa ya kuondoa vizazi Waafrika waishio huko Israeli kwa lengo la kuzuia kizazi cha mtu mweusi kumea huko Israeli!
lkn cha ajabu leo hii Netanyahu anakuja Afrika anapokewa kwa mikono miwili!
Nampongeza raisi wangu Magufuli kwa kutuhudhuria Mkutano huo wa hao v.ilaza ya Kiafrika!
Israel gave birth control to Ethiopian Jews without their consent

Hongera raisi Magufuli!