sijui niziite neti za mbu au nyavu za kuvulia samaki, yaani mbu wanapita kama kawaida inasikitisha sana, hapa tumeliwa
Ukisema tumeliwa unanitia uchungu sana, kwani hizo net zilifanya nikagawa kura yangu kwa ccm mwaka jana. Sasa unapozibeza unaniumiza moyoni.sijui niziite neti za mbu au nyavu za kuvulia samaki, yaani mbu wanapita kama kawaida inasikitisha sana, hapa tumeliwa
Ukisema tumeliwa unanitia uchungu sana, kwani hizo net zilifanya nikagawa kura yangu kwa ccm mwaka jana. Sasa unapozibeza unaniumiza moyoni.
zile net ni za kuzuia wanyama wasitoroke Ngorongoro na kukimbilia Arabunisijui niziite neti za mbu au nyavu za kuvulia samaki, yaani mbu wanapita kama kawaida inasikitisha sana, hapa tumeliwa
Tumeliiwa vipi mkuu mbona kikwete alisamamia production mwenyewe kule new york?
watu wanapolalamika hivi ina maana hayo yote wamezingatia. Siamini kama watu hawajui kutumia net vizuri eti ndio maana mbu wanapita. We ukitaka kuthibitisha chukua kipande cha net fanya kama unaziba kwenye dirisha lisilo na wavu wa mbu yaani net ndio iwe kama wavu wa mbu. Kisha kaa hapo dirishani asubuhi au jioni muda wa mbu kutoka au kuingia chumbani utaona mbu wanavyopenya.<br />chomekeni net vizuri acheni kulalamika. unapoingia kulala hakikisha hauingii na mbu pia weka net vizuri ili isijechomoka usiku bila wewe kujua, unapolala usigusane na neti. maleria haikubaliki.
Hizo net unazifahamu au unazisikia tu??chomekeni net vizuri acheni kulalamika. unapoingia kulala hakikisha hauingii na mbu pia weka net vizuri ili isijechomoka usiku bila wewe kujua, unapolala usigusane na neti. maleria haikubaliki.