Net Group

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,794
287,947
Waungwana hatuwezi kupata mkataba unaoonyesha wale Net Group katika miaka minne waliyoendesha TANESCO 2002-2006 walilipwa kiasi gani?

NETGROUP MANAGERS HAND OVER AND LEAVE THE COUNTRY

The Management Support Services Contract (MSSC) came to an end on 31st December, 2006.

The Contract saw the hiring of NETGroup Solutions (Pty) Ltd from South Africa in May 2002 to manage TANESCO for a period of two years. The Contract was later renewed for another 2 and half years terms.

The Government of Tanzania hired NETGroup in order to improve the company financially, improve quality of power supply and assist with the unbundling and privatization exercise.

On 21st December, 2006, the NETGroup managers formally handed over to the local management in a brief function held at the TANESCO Head Office.

The Chief Executive Officer of NETGroup International, Mr. Marius du Preez and the former Managing Director, Mr. Adriaan van der Merwe handed over the final report and compact disks and software to Mr. Stephen Mabada, who was Acting Managing Director as Dr. Idris Rashid was on safari abroad.

The General Manager (Transmission), Mr. Hans Lottering handed over all the documents to Mr. Decklan Mhaiki (Acting GM, Transmission) while General Manager (Distribution), Mr. Anthony Booyzen, handed over to Mr. William Mhando (Acting GM, Distribution).

The General Manager (Support Services), Mr. Nantes Kruger handed over the documents to Mrs. Subira Wandiba (Acting GM, Support Services).
 
Hapa kweli hatujui wengi wetu, sijui wewe unao mkataba wao na walilipwa kiasi gani?
 
Hapa kweli hatujui wengi wetu, sijui wewe unao mkataba wao na walilipwa kiasi gani?

Sijui ndio maana nikauliza. Kama utakumbuka huu mkataba pia ulilazimishwa na fisadi Mkapa chini ya mtutu wa bunduki. Inawezekana pia ulikuwa ni wa kifisadi ndio sababu naona kuna umuhimu wa Watanzania kuyajua yaliyokuwemo ndani ya mkataba ule ikiwamo malipo kwa net group problems, wenyewe wanajiita solutions.
 
Bubu,
Unajua madudu yaliyofanyika siku za nyuma ni mengi sana, sasa sijui tushike wapi, hatujui kwa sasa na ilimradi umewauliza JF watakujibu subiri
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom