Net budget TSH 10 Million. Je, naweza agiza na kumiliki IST kutoka nje?

Huwezi kutoa mwenyewe kuna watu wanaitwa Clearing and Forwarding Agents wao ndo wanahusika na kutoa vitu bandarini maana wamesomea kozi hio inayohusiana na kutoa mizigo bandarini au airport au mipakani lazima agent akutolee gari huwezi toa wewe kama mtu binafsi sababu tataribu za kiforodha wewe mtu wa kawaida haizifahamu agent yeye anakua anazijua dpcument ipi iwekwe ipi isiwekwe kodi nalipwaje etc
Asante mkuu. Maana yake nikijipa muda wa kuzisoma na kuzielewa taratibu za utoaji mzigo bandarini na mpangilio wa document navuta mzigo bila kuhitaji agent? Au sheria inalazimisha kutumia agent na kuzia mtu binafsi?
 
Asante mkuu. Maana yake nikijipa muda wa kuzisoma na kuzielewa taratibu za utoaji mzigo bandarini na mpangilio wa document navuta mzigo bila kuhitaji agent? Au sheria inalazimisha kutumia agent na kuzia mtu binafsi?
Ni takwa la kisheria ulimwenguni kote kutumia agent na sio mtu binafsi
 
Hapo bado hujalipia malipo ya Bandari fixed 230,000 hapo ni kama umeitoa gari ndani ya grace period hujamlipa Agent 250,000 tshs anaekutolea hio gari, hujalipia $70 hela ya kupokea documents toka kwa shipper, hujalipia bima ya gari, pia hujaifanyia service hio gari i.e battery, matairi engine oil, air cleaner etc hio milioni 10 bado sana
Kwa matairi anaweza kuzugia zugia hata mwaka, hata betri atasuuza sura kwanza
 
Mkuu, ingia kwenye website za kuuza magari, https://www.japanesevehicles.com/?gclid=EAIaIQobChMI457I_9ze4gIV1JTVCh02hQr_EAAYAiAAEgJ_2PD_BwE, angalia price ya ist uitakayo huko, kisha uingie kwenye website ya tra, https://gateway.tra.go.tz/umvvs/ uingize hizo details za gari, kisha utapata majibu ya kodi zote unazopaswa kulipa, mpaka gari iwe barabarani..

Nimekuwekea website moja hapo ya magari.. ila zipo nyingi tuu.. Huko utapata majibu mazuri..
Ujumlishe na ada ya wakala wa kulitoa bandarini,,,,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom