Net budget TSH 10 Million. Je, naweza agiza na kumiliki IST kutoka nje?

Na kweli mkuu. IST yenye '4WD' ni adimu sana. Naisaka bila mafanikio. Na mazingira ninayoishi, 4wd ni muhimu sana.
Kama lengo ni 4wd tafuta gari nyingine. Zipo nyingi tu na ulaji mafuta ni mzuri. Spacio, Voltz, Nk
 
Hahahaha swali gani hili babu
jamani kuhongwa IST neno alilianzisha Makonda
alisema ni vigari vya kuhongwa wasichana huko mitaani askari wake hawezi mnunulia tena IST
kwa hiyo usimlaumu mtoa post yeye kamnukuu Makonda
IST ni za kuhongwa hongwa
 
Alaaaaa!!!!!!kumbeeeee
 
Mkuu hiyo kwenye link imetembea 95000km.. price mpaka ni $ 2864.. Ushuru ni Tshs. 4,833,643.46.. So ukijumlisha na hiyo price (kwa exchange rate ya 2300 kwa dola moja), unapata jumla ni Tshs. 11,420,843.46..

Kwa mtandao huu wa trust japanese car, hiyo ndo ist recommended yenye price ya chini..
Hapo bado hujalipia malipo ya Bandari fixed 230,000 hapo ni kama umeitoa gari ndani ya grace period hujamlipa Agent 250,000 tshs anaekutolea hio gari, hujalipia $70 hela ya kupokea documents toka kwa shipper, hujalipia bima ya gari, pia hujaifanyia service hio gari i.e battery, matairi engine oil, air cleaner etc hio milioni 10 bado sana
 
Duuh mkuu, kwahiyo kumbe bado napelea.
 
IST yenye '4WD' ni adimu sana kuzipata.
Sasa mkuu gari ndogo kama ile kua na 4WD mbona mthihani sana wewe kama huna hela nunua spacio zile wanaita new model kama upo vizuri kiasi nunua gari ya juu kimtindo kama Nissan Xtrail model ya kuanzia 2008 na kuendelea au Tafuta Subaru Forester au Legacy au mfuko umetoboka huwezi weka mafuta 50,000-70,000 kwa wiki?
 
Hapo bado hujalipia malipo ya Bandari fixed 230,000 hapo ni kama umeitoa gari ndani ya grace period hujamlipa Agent 250,000 tshs anaekutolea hio gari, hujalipia $70 hela ya kupokea documents toka kwa shipper, hujalipia bima ya gari, pia hujaifanyia service hio gari i.e battery, matairi engine oil, air cleaner etc hio milioni 10 bado sana
Kwani bandarini huwezi toa mwenyewe ?mzigo ukishafika bandarini kwanini mtu amlipe tena agent? (Naomba shule kidogo hapa mkuu)
 
hata mm hapa nataka elimu,na hii shipper document unalipia vp wakati tayari umeagiza toka kwake na umemlipa
 
Kwani bandarini huwezi toa mwenyewe ?mzigo ukishafika bandarini kwanini mtu amlipe tena agent? (Naomba shule kidogo hapa mkuu)
Huwezi kutoa mwenyewe kuna watu wanaitwa Clearing and Forwarding Agents wao ndo wanahusika na kutoa vitu bandarini maana wamesomea kozi hio inayohusiana na kutoa mizigo bandarini au airport au mipakani lazima agent akutolee gari huwezi toa wewe kama mtu binafsi sababu tataribu za kiforodha wewe mtu wa kawaida haizifahamu agent yeye anakua anazijua dpcument ipi iwekwe ipi isiwekwe kodi nalipwaje etc
 
Similar Discussions

9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom