Net budget TSH 10 Million. Je, naweza agiza na kumiliki IST kutoka nje?

HDMI

HDMI

Senior Member
Joined
Mar 10, 2018
Messages
112
Points
500
HDMI

HDMI

Senior Member
Joined Mar 10, 2018
112 500
I

Inatosha sana kuna kuna siku nimeona jamaa wanauza mpaka 9m na laki kadhaa na hiyo ni bei pamoja na usajili lakini bila bima
Hiyo unazungumzia muuzaji yuko bongo. Mwenzio anataka kutoka Japan straight. Na iwe ma sifa alizoomba kama 4wd. Binafsi naona 10M haitoshi. 12M sawa. Ila 4wd napo atahenya sana
 
kayanda01

kayanda01

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2014
Messages
283
Points
250
kayanda01

kayanda01

JF-Expert Member
Joined Feb 14, 2014
283 250
Hiyo unazungumzia muuzaji yuko bongo. Mwenzio anataka kutoka Japan straight. Na iwe ma sifa alizoomba kama 4wd. Binafsi naona 10M haitoshi. 12M sawa. Ila 4wd napo atahenya sana
Mkuu, 4WD nitahenya sana kivipi, upatikanaji wake? Ama ulaji wa mafuta?
 
Ukwaju

Ukwaju

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Messages
9,671
Points
2,000
Ukwaju

Ukwaju

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2010
9,671 2,000
Hahahaha swali gani hili babu
jamani kuhongwa IST neno alilianzisha Makonda
alisema ni vigari vya kuhongwa wasichana huko mitaani askari wake hawezi mnunulia tena IST
kwa hiyo usimlaumu mtoa post yeye kamnukuu Makonda
IST ni za kuhongwa hongwa
 
ukhuty

ukhuty

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2016
Messages
16,191
Points
2,000
ukhuty

ukhuty

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2016
16,191 2,000
jamani kuhongwa IST neno alilianzisha Makonda
alisema ni vigari vya kuhongwa wasichana huko mitaani askari wake hawezi mnunulia tena IST
kwa hiyo usimlaumu mtoa post yeye kamnukuu Makonda
IST ni za kuhongwa hongwa
Alaaaaa!!!!!!kumbeeeee
 
Lyamber

Lyamber

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2012
Messages
7,880
Points
2,000
Lyamber

Lyamber

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2012
7,880 2,000

Mkuu hiyo kwenye link imetembea 95000km.. price mpaka ni $ 2864.. Ushuru ni Tshs. 4,833,643.46.. So ukijumlisha na hiyo price (kwa exchange rate ya 2300 kwa dola moja), unapata jumla ni Tshs. 11,420,843.46..

Kwa mtandao huu wa trust japanese car, hiyo ndo ist recommended yenye price ya chini..
Hapo bado hujalipia malipo ya Bandari fixed 230,000 hapo ni kama umeitoa gari ndani ya grace period hujamlipa Agent 250,000 tshs anaekutolea hio gari, hujalipia $70 hela ya kupokea documents toka kwa shipper, hujalipia bima ya gari, pia hujaifanyia service hio gari i.e battery, matairi engine oil, air cleaner etc hio milioni 10 bado sana
 
kayanda01

kayanda01

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2014
Messages
283
Points
250
kayanda01

kayanda01

JF-Expert Member
Joined Feb 14, 2014
283 250
Hapo bado hujalipia malipo ya Bandari fixed 230,000 hapo ni kama umeitoa gari ndani ya grace period hujamlipa Agent 250,000 tshs anaekutolea hio gari, hujalipia $70 hela ya kupokea documents toka kwa shipper, hujalipia bima ya gari, pia hujaifanyia service hio gari i.e battery, matairi engine oil, air cleaner etc hio milioni 10 bado sana
Duuh mkuu, kwahiyo kumbe bado napelea.
 
Forum statistics

Threads 1,303,752
Members 501,127
Posts 31,491,491
Top