Nepotism: Jeshi la Polisi na upendeleo kwa wana CCM huku likinyanyasa wapinzani. Hivi Sirro hamuoni Gwajima?

Viongozi wa nchi hii ukiona wanashituka na kuhangaika sana, ujue ni kitu kinachotishia madarska yao. Hakuna kitu atafanya mwana CCM kitatushia madaraka yao.
Mpinzani yeyote atskacho fanya ingawa kizuri athari zake kwa madaraka yao ni kubwa hivyo viongizi hata kama kitafanyika katika level ya mtaa, watakiogopa na kutumia nguvu zote za dola ili kukizima kabla hakija amsha watu wengi nchini.
Mfano mzuri katiba, hakuna mwanaCCM utamsikia anazungumzia katiba, kitu ambacho ndo shida kiini ya watanzania. Mtu yeyote akizungumza kuhusu katiba, viongozi wapo tayari kutolala hats juma zima mpaka wazime usikivu wa huyo mtu.
Kifupi Gwajima hana athari kwa madaraka yao. Mpinzani yeyote akiongea, viongizi huogopa sana mana ni kuruhusu mwamko kwa wananchi dhidi yao.
 
Viongizi wanacho kiogopa ni kitu chochote kinachoweza kuwatoa madarajani. Wskikisikia au kukiona hicho wapo tayari kutumia hila yoyote chafu kukizima hats kama ndo mahitaji sahihi ya wabanchi.
Gwajima hajawa tishio kwa watawala katika kuwapoka madaraka yao.
Mimi ninaamini kama polisi wangepewa kuchagua kati ya majambazi na wsbasiasa wa upinzani wampeleke gerezani nani? Wangechagua kumpeleka mpinzani, kwani huyu abahatarisha ulaji wao na wanaowatuma.
 
Angekuwa ni CDM kesi ya ugaidi ingemuhusu, ila kwa kuwa ni CCM wanajifanya kama hawajamsikia,juzi Mnyika kajibu tu kuhusu Rais mikwara ikaanza
 
Back
Top Bottom