Neocons In Tanzanian Politics - Tunaelekea Wapi?

Shinto

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
1,781
96
Kila mtu anayefuatilia masuala ya siasa za kimataifa anajua jinsi "NEOCONS" chini ya second Bush walivyofanya uharibifu mkubwa sio tu katila uchumi wa nchi yao bali hata katika siasa za kimataifa.
Moja katika ya characteristics za neocons nikujinasbisha au kufungamana na makundi fulani ya kidini chini ya mwavuli wa social-conservatism.
Hapa Tanzania kuna vyama vilivyojitangaza wazi kuwa ni vya ki-conservative na vina uhusiano wa kirafiki na neocons wakimataifa kama wa Marekani.
Hofu yangu ni hii trend ya kuchukua backing ya makundi ya kidini ambayo tumeanza kui-witness katika siasa za Tanzania hivi sasa.
Je, tunaelekezwa kule kule Bush na wenzake walikoipeleka America.?

Soma hapa

THE FALL OF THE HOUSE OF BUSH: The Untold Story of How a Band of True Believers Seized the Executive Branch, Started the Iraq War, and Still Imperils America’s Future is an eye-opening and sweeping account of the secret relationship between neoconservative policymakers and the Christian Right. Through scores of interviews with primary figures in the evangelical community and the neoconservative movement, as well as intelligence figures in the CIA, the DIA, and Israel’s Mossad and Shin Bet security services, Unger explains how they elevated George W. Bush, hijacked the White House, seized control of American foreign policy, and helped precipitate the catastrophic quagmire in the Middle East that seems to worsen every day. Unger’s new book explores the roots of the neocon and Christian alliance and shows how it has triggered events that will leave imprints on a new era as indelibly as World War II, the Cold War or Vietnam did in their times. He not only synthesizes the historical events that have brought us to this moment but also follows events not currently being widely reported on, including U.S. military preparations related to Iran.
 
Back
Top Bottom